Kiswahili: OBS translationQuestions

Updated ? hours ago # views See on DCS Draft Material

01-01

Kila kitu kilichopo ulimwenguni kilitokea wapi?

Mungu aliumba vitu vyote.

Umechukua muda gani Mungu kuumba vitu vyote?

Siku sita.

01-02

Mtazamo wa Mungu ulikuwaje kwa vitu alivyoviumba mwisho wa kila siku?

Alisema ilikuwa nzuri.

01-04

Mtazamo wa Mungu ulikuwaje kwa vitu alivyoviumba mwisho wa kila siku?

Alisema ilikuwa nzuri.

01-05

Mtazamo wa Mungu ulikuwaje kwa vitu alivyoviumba mwisho wa kila siku?

Alisema ilikuwa nzuri.

01-06

Mtazamo wa Mungu ulikuwaje kwa vitu alivyoviumba mwisho wa kila siku?

Alisema ilikuwa nzuri.

01-07

Mtazamo wa Mungu ulikuwaje kwa vitu alivyoviumba mwisho wa kila siku?

Alisema ilikuwa nzuri.

01-08

Mtazamo wa Mungu ulikuwaje kwa vitu alivyoviumba mwisho wa kila siku?

Alisema ilikuwa nzuri.

01-09

Kwa njia gani Mungu alimfanya mtu kuwa tofauti na wanyama?

Alimfanya mwanadamu kwa sura yake na kwa mfano wake.

Mungu alisema nini utakuwa wajibu wa wanadamu?

Wangekuwa na mamlaka juu ya dunia na juu ya wanyama ili kuwajali.

01-10

Mungu alifanyaje mtu wa kwanza?

Mungu alichukua vumbi la ardhi

Mtu huyo aliishije?

Mungu akapulizia uhai ndani yake

Jina la mtu huyo lilikuwa nani?

Adamu

Mungu alimuweka wapi Adamu?

Katika bustani ambayo Mungu alipanda.

01-11

Mti gani muhimu ambao adamu hakuruhusiwa kula?

Mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

Nini kitatokea kama Adamu angekula kutoka mti wa ujuzi wa mema na mabaya?

Atakufa.

01-12

Kwa nini Adamu alikuwa "peke yake" wakati kulikuwa na aina zote za wanyama?

Wanyama hawakuweza kuwa "msaidizi" kwa Adam.

01-13

Mungu alimfuumba mwanamke?

Alimuumba kutoka ubavu wa Adamu

01-14

Jina la 'mwanamke' linamaanisha nini kwa Adamu?

Ilimaanisha kwamba alikuwa ameumbwa kutoka kwa mwanaume.

Nini kusudi la mwanaume kuwa na mke?

Wanapaswa kuwa mwili moja.

01-15

Tathmini ya Mungu ya uumbaji ilikuwa nini wakati alipomaliza?

Ilikuwa nzuri sana.

01-16

Mungu alifanya nini siku ya saba?

Alipumzika na kuibariki siku ya saba na kuitakasa.