Ruth
Ruth 1
Ruth 1:1-2
Ikatokea
"ilikuwa"
wakati waamuzi walipo tawala
"kipindi waamuzi waliongoza Israeli"
katika nchi
"katika nchi ya Israeli"
mwanaume mmoja
"mwanaume" Hii ni namna ya kukaribisha mtu kwenye stori.
Ruth 1:3-5
aliachwa na wanae wawili
"Naomi alikuwa na wanae wawiili"
akachukuwa wake
"akaoa wanawake"
kutoka wanawake wa Moabu
Wana wa Naomi walioa wanawake kutoka kabila la Moabu
jina la mmoja
"jina la mmoja wa wanawake"
Ruth 1:6-7
alisikia katika nchi ya Moabu
"wakati Naomi anaishi na Moabu alisikia"
Yahweh
Hili ni jina la Mungu alilo lirihidhisha kwa watu wa Agano la Kale.
alisaidia watu wake kwenye shida
Mungu aliona mahitaji yao na kutoa mavuno mazuri kwa ajili yao
Ruth 1:8-10
kila mmoja wenu
Naomi alikuwa anaongelea watu wawili
nyumba ya mama yenu
"kwa nyumba ya mama zenu"
alionyesha ukarimu
"alirihidhisha uaminifu"
kwa wafu
"kwa waume zenu, waliyo kufa"
kwenye nyumba ya mume mwingine
na waume zao wapya, sio mume wa mtu mwingine
Ruth 1:11-13
kwanini uende na mimi?
Hili ni swali lisilo itaji jibu
Bado ni wana wa kiume tumboni mwangu , ili kwamba wawe waume zenu?
Naomi anatumia hili swali kusema kuwa hana tena wana wa kiume wa kuwaoa
mzee sana kuwa na mume
Hii yaweza andikwa kwa uwazi zaidi
Ruth 1:14-15
wakainua sauti zao na kulia
Hii ina maana walilia kwa uchungu
sikia
"Sikia" hapa ina maana ya "chukuwa tahadhari"
Ruth 1:16-18
una ishi wapi
"wapi unaishi"
watu wako watakuwa watu wangu
Ruthi anaeleza kuhusu watu wa Naomi, Waisraeli
Utakapo kufa nitakufa
Hii ina onyesha matamanio ya Ruthi ya kuishi maisha yake yote sehemu moja na Naomi
Ruth 1:19-21
ikatokea
"ikaja kutokea"
mji wote
"kila mtu katika mji"
Ruth 1:22
Kwaiyo Naomi na Ruthi
Hii ina hitimisha
Ruth 2
Ruth 2:1-2
Sasa mume wa Naomi
Hii ina tambulisha taarifa kabla ya stori kuendelea.
tajiri, wanaume mwenye ushawishi
"mtu maarufu, tajiri"
Ruthi, Wamoabu
Hapa stori inaendelea.
Wamoabu
Hii ni njia ingine ya kusema mwanamke alitoka nchi au kabila la Moabu
Ruth 2:3-4
Tazama, Boazi
Neno "tazama" lina ashiria tukio muhimu Boazi akija shambani
akatoka Bethilehemu
Mashamba yalikuwa ya yajatajwa umbali na Bethilehemu
kukubariki
"kukupa vitu vizuri"
Ruth 2:5-7
Huyu mwanamke mdogo ni wa mwanamme gani?
Maana zinazo wezekana ni 1) Boazi alikuwa anauliza kuhusu mume wa Ruthi au 2) Boazi alikuwa anauliza wazazi au walezi
usimamizi
"muhusika wa"
Ruth 2:8-9
Una nisikiliza mimi, binti yangu
Hii yaweza andikwa kama amri
binti yangu
Hii ilikuwa namna ya ukarimu ya kumtaja mwanamke
Eka macho yako shambani
Macho yanawakilisha kutizama kitu
Ruth 2:10-12
akainama mbele za Boazi, akishika kichwa chake kwenye ardhi
Haya ni matendo ya heshima na hofu.
kwanini nimepata kibali
Ruthi anauliza swali
mgeni
Ruthi aliweka uaminifu wake kwa Mungu wa Israeli sirini, lakini alijulikana hadharani kama Mmoabu
Imeletwa kwangu
Hii yaweza andikwa kama kitenzi tendaji.
Ruth 2:13
Acha nipate kibali machoni pako
Hii yaeleza kuomba baraka
Ruth 2:14
Wakati wa chakula
Hii ina maana ya mchana
Ruth 2:15-16
Alipo inuka kukusanya nafaka, Boazi aliamuru vijana wake
Katika muktadha wa amri, inawezekana Ruthi alikuwa mbali sana na maelekezo ya Boazi
Alipo inuka
"Alipo inuka"
usimkeme
"usimsababishie aibu"
Ruth 2:17-18
maskio ya nafaka
Hii ina maana ya vitu vinavyo liwa vya nafaka
Akainua juu na kwenda mjini
Ina ashiriwa kwamba Ruthi alibeba nafaka nyumbani
mama mkwe wake aliona
Naomi aliona
Ruth 2:19-20
yeye abarikiwe na Yahweh
Naomi ana muuliza Mungu kumpa thawabu Boazi kwa ukarimu wake kwa Ruthi na yeye.
kwa waliyo hai
"kwa watu wanao ishi"
wafu
"watu waliyo kufa"
Ruth 2:21-22
Hakika, alisema kwangu
"Ata aliniambia"
kuwa karibu na vijana wangu
Boazi alikuwa anaongelea ulinzi wa kimwili vijana wake wanaweza mpa
toka na
"fanya na"
Ruth 2:23
alikuwa karibu
Ruthi alifanya kazi shambani mwa Boazi na wafanya kazi wake mchana, ili awe salama
aliishi na mama mkwe wake
Ruthi alienda kwa Naomi kulala usiku
Ruth 3
Ruth 3:1-2
mama mkwe
Naomi ni mama wa mume wa Ruthi aliye kufa
Binti yangu
Ruthi alikuwa binti wa Naomi kwa kumuoa mwanae na kwa matendo yake baadae kwa kumjali Naomi baada ya kurudi Bethilehemu
wafanya kazi wa kike uliyo kuwa nao
"wafanya kazi wa kike umekuwa ukifanya nao kazi"
sio ndugu yetu?
Naomi labda alitumia hili swali kumkumbusha Ruthi kitu
Angalia
Hii ina maana kuwa maelezo ya fuatayo ni muhimu sana
Ruth 3:3-5
jipake mafuta mwenyewe
Ina inazekana ni kujipaka mafuta ya kunukia mwilini, kama wanawake wanavyo jipaka marashi leo
lala chini hapo
"lala kwenye miguu yake"
Ruth 3:6-7
moyo wake ulifurahi
"aliridhika"
alikuja tarajibu
"alinyata ndani"
akafunua miguu yake
"aliondoa shuka miguuni mwake"
Ruth 3:8-9
Ikaja kuwa kwamba
Haya maneno yanatumika kuonyesha jambo muhimu katika stori.
usiku wa manane
"katikati ya usiku"
Aligeuka
Aliangalia nini kimemgusa
mwanamke alikuwa amelala miguuni mwake
Mwanamke alikuwa Ruthi, lakini Boazi hakuweza kumtambua gizani
Ruth 3:10-11
binti yangu
Boazi alitumia msemo huu kama ishara ya heshima kwa Ruthi kama mwanamke mdogo
ukarimu mwishoni kuliko mwanzoni
"ukarimu zaidi sasa kuliko kabla"
ukarimu mwishon
Hii ina eleza kuwa Ruthi anamuomba Boazi kumuoa
Ruth 3:12-13
kama hatafanya jukumu la ndugu
"kama hatamuoa ndugu wa mjane wake na kuzaa watoto kwa ndugu yake aliyo kufa
kwa maisha
"hakika kama Yahweh aishvyo"
Ruth 3:14-15
amelala miguuni mwake
Ruthi alilala miguuni mwa Boazi. Hawaku fanya mapenzi
kabla ya mtu yeyote kumtambua mwenzake
Wakati huu wa siku unaweza elezwa kama giza
kuweka mzigo juu yake
Kiasi cha nafaka kilikuwa kikubwa hadi Ruthi alihitaji msaada kubeba
Ruth 3:16-18
Ulifanyaje binti yangu?
Alicho maanisha Ruthi kwa hili swali la weza andikwa wazi zaidi.
yote mwanaume aliyo fanya
"yote Boazi aliyo fanya"
Usiende mtupu
"usiende mikono mitupu"
Ruth 4
Ruth 4:1-2
lango
"lango la mji" Hili lilikuwa mwingilio wa mji wa ukuta wa Bethilehemu.
ndugu wa karibu
Huyu alikuwa ndugu wa karibu wa Elimeleki
wazee wa mji
"viongozi wa mji"
Ruth 4:3-4
katika uwepo wa
Hii ilifanya muamala wa kisheria na wa kufunga
kumboa
Hii ili maanisha kununua ardhi ili kuweka ndani ya familia yao
Niko baada yako
Boazi alikuwa ndugu anaye fuata kununua ardhi
Ruth 4:5-6
Siku utakayo nunua ... lazima pia
Boazi anatumia huu msemo kutambulisha ndugu zake majukumu ya ziada atakayo kuwa nayo atakapo nunua ardhi
kutoka nchi ya Naomi
"kutoka kwenye umiliki wa Naomi"
lazima pia umchukuwe Ruthi
"lazima umuoe Ruthi"
Ruthi ... mke kwa mwanaume aliye kufa
"Ruthi ... mjane wa mwana wa Elimeleki"
Ruth 4:7-8
Sasa hii ilikuwa desturi
Mwandishi wa kitabu anaelezea desturi za kubadilishana kipindi cha Ruthi
wakati wa awali
"kipindi cha nyuma"
kiatu
"ndala"
jirani yake
Hii yaeleza mtu aliye kuwa anafanya naye makubaliano.
Ruth 4:9-10
kwa wazee na watu wote
Hii yaeleza watu wote waliyo kuwepo sehemu hiyo, sio kila mtu mjini
yote yaliyo kuwa ya Elimeleki na yote yaliyo kuwa ya Kilioni na Mahaloni
Hii yaeleza mali za mume wa Naomi aliye kufa na wanae
kutoka mkono wa Naomi
Mkono wa Naomi una wakilisha Naomi
Ruth 4:11-12
watu waliyo kuwa langoni
"watu waliyo kuwa wanakutana pamoja langoni"
jenga nyumba ya Israeli
"kuzaa watoto wengi waliyo kuwa taifa la Israeli"
kama Raheli na Lea
Hawa walkuwa wake wawili wa Yakobo, ambaye jina lake lilibadilishwa kuwa Israeli
nyumba yako iwe kama
Mungu kwa utele alimbariki Yuda kupitia mwanae Perezi.
Ruth 4:13-15
Boazi akamchukuwa Ruthi
"Boazi alimuoa Ruthi"
Akalala naye
"Akafanya naye mapenzi"
ambaye hajakuacha leo bila ndugu wa karibu
"ambaye leo amekupatia ndugu mzuri wa karibu"
Ruth 4:16-17
Naomi akachukuwa mtoto
Hii ya husu Naomi kushikilia mtoto.
akamueka kifuani
Hii sentensi ya upendo kwa mtoto
mwana wa kiume amezaliwa kwa Naomi
Ilieleweka kwamba mtoto alikuwa mjukuu wa Naomi, sio mtoto wake wa kimwili
baba wa Daudi
"mtoto wa mfalme Daudi"
Ruth 4:18-22
wazao wa Perezi
"wazao waliyo rithi." Mwandishi anaendelea kuorodhesha familia ya Perezi