Haggai
Haggai 1
Haggai 1:1-2
mwaka wa pili wa mfalme Dario
"mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario"
Dario...Haghai...Zeubabeli...Shealtieli...Yehozadaki
Haya yote ni majina ya wanaume.
katika mwezi wa sita, siku ya kwanza ya mwezi
"katika siku ya kwana ya mwezi wa sita." Huu ni mwezi wa sita wa karenda ya kiebrania. Siku ya kwanza ni karibu na katikati ya mwezi wa nanekwa karenda ya kimagharibi.
ulikuja kupitia mkono wa Haghai
Haghai alikuwa mjumbe.
Haggai 1:3-6
kwa mkono wa Haghai
"Ulikuja kupitia maneno" (au 'mdomo') wa Haghai
ni wakati wenu wa kukaa kwenye nyumba zenu zilizokamilika?
Tazama UDB
wakati nyumba hii inaharibika
Neno "Nyumba" hapa inamaanisha hekalu ya Mungu.
lakini usilewe
Hapa aya hii haimaanishi kuwa kulewa siyo kitu kizuri. Badala yake hakuna mvinyo unaoweza kukidhi kiu ya watu na haitoshi kwa kunywa.
mishahara mnayopata ya fedha mnaweka kwenye mfungo ambao umejaa mashimo
"pesa unayotengeneza kazini haiwezi kukunulia vitu vya kutosha"
Haggai 1:7-9
leta mbao
Hii inawakilisha sehemu tu ya kile walitaka kujenga katika Hekalu
asema Bwana wa Majeshi
"Haya anayesema Bwana wa Majeshi" au "Ndivyo alivyosema kweli Bwana wa majeshi"
Haggai 1:10-11
mbingu
"Anga"
kutoa umande
"kutoa mvua"
ukame
ukame ambao utazuia au kukwamisha mimea na kukausha maji yote ambayo yanahitakija kwa ajili ya wanyam na watu walio katika eneo hilo.
juu ya mzabibu mpya na juu ya mafuta
mvinyo unafawikilisha zabibu na mafuta yanawakilisha mzeituni
kazi za mikono yako
"kazi zako zote ulizofanya kwa bidii!" na UDB
Haggai 1:12-13
na maneno ya nabii Haghai
"waliposikia maneno ambayo nabii Haghai aliyasema"
uso ya Bwana
"Bwana"
Asema Bwana
"kile Bwana amesema" au "kile Bwana kweli alisema"
Haggai 1:14-15
alitibua roho
Hii inamaanisha kuhamasisha au kushawishi.
mabaki
Neno "Mabaki"linatokana na watu waliobaki hai wakiwa wanatoka utumwani Babeli na walianza kuujenga Yerusalemu tena.
katika siku ya ishirini na nne Mwezi wa sita
siku ya nne ya mwezi wa sita **- Hii ni siku 23 tu baada ya kupata maono. Huu ni mwezi wa sita kwa kalenda ya kiebrania. Siku ya ishirini na nne ni karibu na katikati ya mwezi wa tisa kwa kalenda za kimagharibi.
mwaka wa pili wa Mfalme Dario.
"mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario"
Haggai 2
Haggai 2:1-2
Katika Mwezi wa saba siku ya ishirini na moja ya mwezi
siku ya kwanza ya mwezi**- Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya ishirini na moja ni karibu na katikati ya mwezi wa kumi wa kalenda ya kimagharibi.
lilikuja kwa mkono wa Nabii Hagai
tazama
Haghai... Zerubabeli...Sheltiel...Yehozadaki
tazama
Haggai 2:3-5
si chochote machoni penu?
"Ni lazima uwaze kwa hakika na si lazima hata kidogo"
Sasa, muwe hodari
"Kutoka sasa na kuendelea muwe hodari"
Haggai 2:6-7
nitatikisa mbingu na dunia
ni usumbufu mkubwa sana
Haggai 2:8-9
Dhahabu na fedha ni vyangu
Maneno Fedha na dhahabu" yanamaanisha hazina zinazoletwa hekaluni.
Haggai 2:10-12
Katika siku ya ishirini na nne mwezi wa tisa
siku ya nne ya mwezi wa tisa** - Huu ni mwezi wa tisa wa kalenda ya kiebrania. siku ya ishiri na nne ni karibu na katikati ya mwezi wa kumi na mbili wa kalenda ya magharibi.
mwaka wa pili wa utawala wa Dario
"mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario
Dario... Haghai
Tazama
Haggai 2:13-14
pamoja na hawa watu na pamoja na taifa liliko mbele yangu!
"Hii ni kweli na watu wa Israeli!" au "Hii ni kanuni ileile walioishika kweli kwa ajili ya watu wa Israel!"
Haggai 2:15-17
Kwa hiyo, fikiri kutoka siku hii ya leo na kuendelea
"Kumbuka ilikuwa inafananaje"
vipimo ishirini vya nafaka
"Vipimo" ni kiasi kisichojulikana
vipimo hamsini vya divai
"Vipimo" ni kiasi kisichojulikana
Niliwataabisha ninyi na kazi za mikono yenu
"Niliilani kazi yenuna mazao yenu yote".
Haggai 2:18-19
siku ya ishirini na nne katika mwezi mwezi wa tisa
siku ya nne ya mwezi wa tisa *** _ tazama ulivyoitafsiri hii.
je, bado kuna mbegu katika ghala?
Jibu lililotarajiwa ni "Hapana" hili swali lilitumika kuonyesha wasomaji kile walikuwa wanakijua.
mti wa mtini, komamanga, na mti wa mzeituni
Haya ni matunda yaliyokuwa yanalimwa katika ardhi hiyo.
Haggai 2:20-23
Haghai... Zerubabel
Haya ni majina ya wanaume.
siku ya ishirini na nne ya mwezi
siku ya nee ya mwezi** "Katika siku ya ishirini na nne mwezi wa tisa
nitatikisa mbingu na nchi
Bwana atasabisha usumbufu katika nchi yao.
mbingu na nchi
"ulimwengu wote"
nitakiangusha kiti cha wafalme
Serikali zitaangushwa kwenye machafuko.
Kiti cha kifalme
"serikali zilizoongozwa na wafalme"
upanga wa ndugu
"Upanga wa askari mwenzake"