Esther
Esther 1
Esther 1:1-2
Katika siku za Ahasuero
"Katika wakati wa Ahasuero" au "wakati Ahasuero alipokuwa akitawala kama mfalme."
127
(Tazama: tafsiri nambari)
majimbo
"Jimbo" ni sehemu kubwa ambayo katika hiyo baadhi ya nchi zimegawanywa kwa makusudi ya serikali.
Ngome
Ngome, boma au kambi iliyoimarishwa.
Shushani
Mji wa utawala wa wafalme wa Uajemi.
Esther 1:3-4
mwaka wa tatu
"baada ya miaka 2"
180
(Tazama: tafsiri nambari)
Esther 1:5-6
Saba
"7"
ikulu
tumia neno lile lililotumika katika 1:1.
Shushani
Tumia neno lile lilelililotumika katika 1:1.
Esther 1:7-8
ukarimu
"utayari mkubwa wa kuwapa"
Mfalme alikuwa amewaamuru wahudumu wake wote wa ikulu kuwatenda vyovyote kila mgeni alivyotaka
kauli hii inamaanisha kwamba mfalme aliwaambia wafanyakazi wake kuwapa wageni wote ambao walio wataka.
Esther 1:9-11
siku ya saba
"baada ya siku 6"
wakati moyo wa mfalme ulipokuwa ukijisikia fu kwa sababu ya mvinyo
"baada ya mfalme alipokuwa amelewa kwa mvinyo"
Mahumani, Biztha, Harbona, Bigtha, Abagatha, Zethari na Karkas
(Tazama: Tafsiri majina)
saba
"7"
Esther 1:12
Kwa nini mfalme alikasirika sana?
Mfalme alikasirika sana kwa sababu Malkia Vashiti alikataa kuja kama mfalme alivyokuwa ameagiza.
Esther 1:13-15
Carshena, Shethar, Admatha, Tarshish, Meres, Marsena na Memucan
(Tazama: tafsiri majina)
saba
"7"
katika kutekeleza sheria
"Katika kutekeleza sheria au katika kutii sheria
Esther 1:16-18
Mumekani
(Tazama: tafsiri majina)
Majimbo
Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:1.
Esther 1:19-20
wote/kubwa mno
"kubwa" au "kubwa sana"
Esther 1:21-22
Memkani
(Tazama: tafsiri majina)
jimbo
Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:1.
Esther 2
Esther 2:1-2
tangazo/ mbiu
Hii inarejea kwenye tangazo katika 1:19.
Esther 2:3-4
Majimbo
Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:1.
haremu
"mahali ambapo wake wa watawala wanatunzwa"
ikulu
Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:5.
Sushani
Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:1.
Hegai
(Tazama: tafsiri majina)
vipodozi vyao
"Kipodozi" in kitu kama kirimu, losheni, au poda ambayo mara nyingi wanawake ujipaka katika uso au mwili ili kupendezesha muonekano wao.
Esther 2:5-6
Sushani
Tumia jina lile lile lililotumika katika 1:1.
mwana wa Jaira mwana wa Shimei mwana wa Kishi
'"Jaira," "Shimei" na"Kishi" ni wanaume ambao "Modekai" ni mwana wa kiume anatoka.
Mbenjamini
"wa kabila la Benjamini"
Alikuwa amechukuliwa kutoka Yerusalemu
Andiko la Kiebrania haliweki wazi anayezungumziwa hapa. Pengini ni Kishi, ambaye inaonekana alikuwa baba yake na babu wa Modekai. Kama ilikuwa Modekai mwenyewe, hivyo angekuwa mzee sana kwa wakati wa matukio yanayomhusu Esta. Matoleo mengi ya kisasa haziliweki wazi hili. Ni matoleo machache likiwemo la UDB, linahisi kuwa Modekai ndiye aliyekuwa amechukuliwa kutoka Yerusalem.
Yekonia, mfalme wa Yuda
(Tazama: tafsiri majina)
Esther 2:7
Hadasa
Hili ni jina la Kiebrania la Esta.
binti wa mjomba wake
"binamu yake'
Hakuwa na baba wala mama
"baba na mama yake walikufa"
Esther 2:8-9
alitangaza
"alitangaza"
ikulu
Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:5.
Esther 2:10-11
kuhusu habari ya Esta
"vile ambavyo Esta alivyokuwa akiendelea" au "kuhusu hali ya Esta"
Esther 2:12-13
kufuata maelekezo kwa ajili ya wanawake
"kutenda sawa sawa na ni mahitaji kwa ajili ya wanawake"
ya matibabu ya urembo
Mambo yafanywayo ili kuwafanya wasichana kuonekana warembo zaidi na kunukia vizuri.
vipodozi
Tumia neno lile lile lililotumika katika 2:3.
ikulu
Tumia neno lililotumia katika 1:5.
Esther 2:14
wakati wa ahsubuhi
"ahsubuhi inayofuata"
nyumba ya pili
"nyumba nyingine"
msimamizi
"kuangalia" au "ulinzi"
Shaashigazi
(Tazama: tafsiri majina
Esther 2:15-16
Abihali
"Abihaili"alikuwa baba yake na Esta na mjomba wa Modekai.
Hegai
Tumia neno lile lile liliotumika katika 2:3
mwezi wa kumi, ambao ni mwezi wa Teneti
"Tibeti" ni jina la mwezi wa kumi kwa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa sehemu ya mwisho wa Desemba na sehemu ya kwanza ya January kwa kalenda ya Magharibi.
mwaka wa saba
"mwaka namba7"
Esther 2:17-18
mfalme alipenda
Hili ni neno la kihisia la "upendo".
ushuru
"ukusanyaji wa ushuru"
majimbo
Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:1
Esther 2:19-21
mara ya pili
"mara moja zaidi" au"muda mwingine"
alimuelekeza
"alimwambia"
Bigthani na Tereshi
Haya yalikuwa majina ya walinzi wawili waliolinda ikulu.
Esther 2:22-23
mti
umbo ambalo mtu hunyongwa kwa kufunga kamba shingoni mwake na kuuning'niza mwili pasipo msaada wowote chini.
Esther 3
Esther 3:1-2
Hamani mwana wa Hammedatha Mwagagi
Hili ni jina na wadhifu wa Hamani, mmoja wa wasimamizi wa mfalme.
aliweka kiti chake cha mamlaka
"alipandisha cheo"
walijinyenyekezea kwa Hamani
"Walijinyenyekeza na kulala kifudifudi juu ya ardhi mbele ya Hamani"
Esther 3:3-4
amrisha, kuamrisha, amri
Neno "kuamrisha" maana yake kumuagiza mtu kufanya kitu. "Amuru" au "amri" ni kile ambacho mtu aliagizwa kufanya.
Myahudi, Uyahudi, Wayahudi
Wayahudi ni watuambao ni uzao wa mjukuu wa Abrahamu, Yakobo. Neno "Myahudi" linatokana na neno "Yuda."
Esther 3:5-6
Hakupenda kwa wazo la kumuua Modekai pekee
"Alikataa wazo la kumuua Modekai pekee"
Kuwakatilia mbali Wayahudi
"kuwaondoa Wayahudi wote" au "Kuwakatilia mbali Wayahudi wote"
Esther 3:7
Katika mwaka wa kwanza (ambao ni mwezi wa Nisani)
"Nisani" ni jian la mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Ni sehemu ya mwisho ya wakati wa Machi na sehemu ya kwanza ya Aprili kwa kalenda ya Kimagharibi.
wakapiga Puri/ kura
"wakapiga kura"
mwezi wa kumi na mbili (mwezi wa Adari)
"Adari" ni jina kumi na mbili na mwezi wa mwisho wa kalenda ya kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa sehemu ya mwisho ya Februari na sehemu ya kwanza ya machi katika kalenda za Magharibi.
Esther 3:8-9
watu fulani
"kikundi cha watu"
majimbo
Tumia neno lile lile lililotumikka kama lilivyotumika katika 1:1
talantaelfu kumi za fedha
"talanta 10,0000 za fedha"
Esther 3:10-11
pete ya muhuri
pete maalum ambaye ilitumiwa kugonga nyalaka za Mfalme kwenye matangazo.
Esther 3:12-13
siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kwanza
Huu ni mwezi wa kwanza wa Kalendda uya Kebrania. Siku ya kumi na tatu ni karibu na mwanzo wa Mwezi Aprili katika kalenda za Magharibi.
wasimamizi wa majimbo wa mfalme
"wasimamizi wa majimbo" Tumia neno lile lile lililotumika kwa jimbo katika 1:1.
siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili (ambao ni mwezi wa Adari)
Adari" ni jina la kumi na mbili na mwezi wa mwisho wa kalenda ya Kiebrania. Kumi na tatu ni karinu na mwanzo wa machi kwa kalenda za Magharibi.
Esther 3:14-15
jimbo
Tumia neno lile lile katika 1:1
Shushani
(Tazama: tafsiri majina)
ulikuwa katika msukosuko
"ulikuwa katika hai ya msukosuko mkubwa"
Esther 4
Esther 4:1-3
jimbo
Tumia neno lile lile kama lililotumika katika 1:1.
Esther 4:4-5
majonzi
"mahangaiko makubwa"
Hathaki
(Tazama: tafsiri majina)
Esther 4:6-8
Hathaki
(Tazama: tafsiri majina)
mbele ya lango la mji
" soko"
Hamani
Tumia neno lilelile kama liliotumika katika 3:1.
Esther 4:9-12
siku thelathini
"siku 30"
Esther 4:13-14
Ni nani ajuaye kama umekuja katika nafasi hii kwa wakati muafaka kama huu?
Kusudi la swali hili ni kumfanya Esta kufikiri kwa undani kuhusu nafasi yake katika swala hili. "Ni nani ajuaye, pengineiikuwa kwa muda kama huu kwamba ulifanywa kuwa malkia."
Esther 4:15-17
Shushani
Tafsiri kama katika 1:1.
siku tatu
"siku 3"
Esther 5
Esther 5:1-2
siku tatu
"siku 3"
Esther 5:3-4
Hamani
Tafsiri kama katika 3:1
kwa ajili yake
"kwa ajili ya mfalme"
Esther 5:5-6
hitaji
"ombi kwa mfalme"
utapewa
"ombi lako utapewa"
Esther 5:7-8
ikikupendeza, inayopendeza, upendeleo
Neno ikikupendeza" inamaanisha kufanya kitu kunufaisha mtu ambaye ameheshimiwa.
kuheshimu
Neno heshimu" inamaanisha kumpa mtu heshima.
Esther 5:9-11
hasira
"hasira kali"
Zereshi
(Tazama: tafsiri majina)
Esther 5:12-13
haya yote sio kitu kwangu
"halinifanya mimi kufurahia" au " hainitoshelezi"
Esther 5:14
miti
tafsiri kama katika 2:22
futi hamsini
"futi 50"
Esther 6
Esther 6:1-3
Bigithatna na Tereshi
Tafsiri kama katika 2:19
"walinzi wawili wa mfalme"
"wasimamizi 2 wa mfalme"
Hakufanyiwa kitu chochote
Mfalme hakufanya chochote kwa Modekai."
Esther 6:4-6
Hamani
Tafsiri kama katika 3:1
ua wa nje
"ua wa kwanza kutoka nje"
kumtundika Modekai
"kumweka Modekai kwenye kifo kwa kumtundika"
miti ya kutundikia
Tafsiri hili kama katika 2:22
kuweka
"kujenga"
akasema moyoni mwake
"akafikiri mwenyewe"
Ni nani ambaye mfalme apenda kumuheshimu zaidi yangu?
'Hakika hakuna mwingine ambaye mfalme apenda kumuheshimu zaidi yangu!"
Esther 6:7-9
mavazi ya kifalme yaletwe
"watumishi walete mavazi ya kifalme"
ametumiwa/ameendeshwa
"Hii ni sentensi ya wakati uliopita wa endesha"
taji ya kifalme
umbo maalum iliyowakilisha familia ya mfalme
Hivyo mavazi na farasi apewe
"Hivyo mpe mavazi na farasi"
Watangaze
"Watumishi na wasimamizi wakuu watangaze"
Esther 6:10-11
Modekai
Modekai alikuwa mwanamme myahudi akiishi katika nchi ya Waajemi. Alikuwa mlezi wa binamu yake Esta, ambaye baadaye alikuwa mke wa mfalme wa Uajemi, Ahausiero.
Muyahudi, Wayahudi
Wayahudi ni uzao wa mjukuu wa Abrahamu, Yakobo. Neno Yahudi linatokana na neno Yuda.
lango, komeo
"lango" ni kizuizi kilichowekwa mahali pa kuingilia katika fensi au ukuta unaozunguka nyumba.Komeo inamaanisha ubao au chuma ambacho kinaweza kusogezwa katika sehemu ili kufunga lango.
tangaza, mbiu
ni kutangaza au kutangaza kitu kwenye hadhara na kwa ujasiri.
Esther 6:12-14
Zereshi
(Tazama: tafsiri majina)
Esther 7
Esther 7:1-2
Hamani
Tafsiri kama katika 3:1
katika siku ya pili
"katika karamu hii ya 2"
haja/ombi
tafsiri kama katika 5:5
utapewa
"nitakupa"
Esther 7:3-5
machoni pako
"kutoka kwako"
nipewe
"nihudumiwe"
Kwa kuwa tumeuzwa
"Kwa kuwa mbiu imetuuza sisi"
tuharibiwe, tuuwawe na tuangamizwe
Maneno haya matatu yana maana moja ila yametuika kuweka msisitizo.
Esther 7:6-7
Hofu
"woga mkubwa"
hasira
"hasira kali"
Esther 7:8
mvinyo ulikuwa umetengwa
"watumishi walikuwa wameleta mvinyo"
kochi
kipande kirefu cha samani ambapo mtu hukaa au kulala.
atamdharirisha malkia
Hii neno ni namna ya upole ya kuuliza kama atashika na kulala naye.
Atamdharirisha malkia mbele yangu katika nyumba yangu?
"Unajaribu kumdharirisha malkia wakati akiwa hapa nami katika ikulu yangu!"
watumishi wakamfunga Hamani uso
baadhi ya watumishi walifunga kichwa cha Hamani, kama walivyofanya watu walikuwa tayari kwa kutundikwa.
Esther 7:9-10
Haribona
Hili ni jina la mwanamme. (Tazama: tafsiri majina)
miti
Tazama jinsi ulivyotafsiri hili katika 2:22
futi hamsini
"futi 50"
Esther 8
Esther 8:1-2
Hamani
Tafsirfi kama katika 3:1
pete ya muhuri
pete maalum ambayo iliweza kutumiwa kupiga muhuri mbiu/ tangazo la Mfalme.
Esther 8:3-4
akasihi
"akaomba"
Mwagagi
Tafsiri kama katika 3:1
mpango ambao alikuwa ameupanga
"mbinu ambao alikuwa ameipangaa"
Esther 8:5-6
batilisha
"kufuta rasmi"
Hammedatha
(Tazama:tafsiri majina)
majimbo
Tafsiri kama katika 1:1.
Ninawezaje kuona ubaya ukiwapata watu wangu? Ninawezaje kutazama uharibifu wa jamaa zangu?
"Siwezikuvumilia kuona ubaya unawaangukia Wayahudi. Siwezi kuvumilia kutazama jamaa zangu wakiuwawa."
Esther 8:7-8
miti ilitumika kutindikia waharifu
Tafsirikama katika 2:22
Andika mbiu nyingine
Inamaanisha kuwa Moderkai na Esta waliandika barua.
haiwezi kutanguliwa
"hakuna mtu anaweza kuibatilisha" au" hakuna mtu awezaye kuifuta rasmi"
Esther 8:9
aliita
"alikusanya"
mwezi wa tatu, ambao ni mwezi wa Sivani, katika siku ya ishirini na tatu ya mwezi
siku ya tatu ya mwezi "sivani"ni jina la mwezi wa tatu katika kalenda ya Kiebrania, siku ya ishirini na tatuni kati katika ya mweziJuni kwa kalenda za Magharibi.
majimbo
Tazama jinsi ulivyotafisiri hii katika 1:1
127
(Tazama: tafsiri majina)
Esther 8:10-12
pete ya muuri
Tafsiri kama katika 3:1
matarishi
"watu wanaobeba ujumbe"
waliozaliwa kwa mfalme
ni farasi aliyestafishwa katika mashindano ambaye ametunzwa kwa ajili ya uzalishaji wa farasi wengine wa mashindano
ruhusa
"haki"
kukusanyika na kujilinda
Hili ni neno lililotumika likimaanisha kupigana wala sio kukimbia.
siku ya ishirini ya mwezi wa kumi na mbili, ambao ni mwezi wa Adari
Tazama jinsi ulivyotafsiri hii katika 3:12
Esther 8:13-14
kulipa kisasi
tendo la kumuumiza mtu aliyekuumiza.
Shushani
Tafsiri kama katika 1:1
Esther 8:15-17
nuru
"furaha"
jimbo
Tafsiri kama katika1:1
sikukuu
"maadhimisho"
Esther 9
Esther 9:1-2
mwezi wa kumi na mbili, siku ya kumi na tatu ambayo ni siku ya Adari katika siku ya kumi na tatu
Tazama jinsi ulivyotafsiri hili katika 3:12.
walitarajia kutekeleza
"tekeleza"
majimbo
Tafsiri kama katika 1:1.
kutia mikono juu ya wale waliokusudia ubaya juu yao
"kuwapiga maadui zao"
Esther 9:3-5
majimbo
Tafsiri kama katika 1:1.
maakida na magavana
"magavana wa majimbo"
umaarufu
"ukuu" au "kutambuliwa"
Esther 9:6-10
Shushani
Tafsiri kama katika 1:1.
ngome
ngome
wanaumemia tano
wanaume500.
Parishandatha, Dalphoni, Aspatha, Poratha, Adalia, Aridatha, Parimashita, Arisai, Aridai, Vaizatha
(Tazama: tafsiri majina)
wana kumi
"wana 10"
Hamani
(Tazama: tafsiri majina)
Hammedatha
(Tazama: tafsiri majina)
Esther 9:11-12
mji wa ngome
ngome
wanaume mia tano
wanaume 500
wana kumi
"wana 10"
Je wamefanya nini katika majimbo mengine?
"Ni nini walipaswa kufanya katika majimbo mengine ya mfalme!"
matakwa
"ombi"
Esther 9:13-14
wana kumi
"wana 10"
mti uilotumika ktundikia waharifu
tafsiri kama katika 2:22
Esther 9:15-16
siku ya kumi na nne ya mwezi wa Adari
Adari ni jina la mwezi wa kumi na mbili na mwezi wa mwisho kwa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na nne karibia na mwezi Machi.
Majimbo
Tafsiri hii kama ulivyotafsiri hii katika 1:1
elfu sabini na tano
sabini na tano 75000
Esther 9:17-19
siku ya kumi na tana ya mwezi wa Adari
Tazama ulitafsiri hii katika 3:12.
siku ya kumi na nne
Tazama vile ulivyotafsiri hii katika 915.
Shuani
Tazama ulivyotafsiri hii katika 1:1.
siku ya kumi na tano
"siku 15"
furaha
'shangwe"
Esther 9:20-22
siku ya kumi na nne na kumi na tano
"siku 14 na 15"
sikukuu
"maadhimisho" au "karamu"
Esther 9:23-25
Maelezo ya Jumla:
Aya hiiinafupisha sehemu kubwa ya simulizi ya Esta ii kufafanua sababu ya sherehe ya Purimu.
Hamani
(Tazama: tafsiri majina)
Hammedatha
(Tazama: tafsiri ya majina)
Mwagagi
Hawa ni watu wa kundi la Hamani.
alipiga Puri (alipiga kura)
"alipiga kura kubashiri ili kupata siku ya bahati katika mwaka ambayo atakayotekeleza mpango wake"
Puri
"Purimu au kura"
Lakini taarifa ilipofika mbele ya mfalme
Biblia ya Kiebrania inaweza pia kutasiriwa kwa kumaanisha, "Lakini Esta alipokuja mbele ya mfalme."
Esther 9:26-28
Purimu
Sikukuu iliyosherehekewa kukumbuza wokovu wa Wayahudi katika Uajemi kutoka kwa njama ya Hamani ya kuharibu na kuua Wayahudi wote ndani ya siku moja.
mbili
"2"
Siku hizi zilipawa kusherehekewa na kutunzwa
"Wayahudi walipaswa kusherehekea na kuzitunza siku hizi"
"wasikome kuzitunza kwa uaminifu"
"kutunza kwa uaminifu mara zote"
Esther 9:29
Abihaili
(Tazama: tafsiri ya majina)
barua ya pili
"barua ya nyongeza"
Esther 9:30-32
127
(Tazama: tafsiri ya namba)
majimbo
Tumia neno lile lile kama lilivyotumika katika 1:1.
walivyowaelekeza
"walijiweka"
sheria
mpangilio" au uendeshaji"
Esther 10
Esther 10:1-2
akaweka
"toza"
mafanikio
"yaliyotimizwa"
Esther 10:3
pili
"namba 2"
alitafuta
"taka" au "hitajika"
hali njema
"kuwa katika hali nzuri"