Amos
Amos 1
Amos 1:1-2
Mambo ambayo...Amosi...aliyapokea katika ufunuo
Kila kitu ambacho Mungu amemfanya Amosi kuelewa kupitia ambacho Amosi amekiona au kusikia.
Yahwe atanguruma kutoka Sayuni; atainua sauti yake kutoka Yerusalemu
Hii mistari miwili inashirikiana maana moja. Yote inasisitiza kwamba Yahwe anapiga kelele kama ajiandaa kulihukumu taifa
Yahwe atanguruma
kama 1) simba au 2) radi
Yahwe
Hili ni jina la Yahwe ambalo alijifunua kwa watu wake katika kipindi cha Agano la Kale. Tazama ukurasa wa tafsri ya Neno kuhusu Yahwe kuhusiana na jinsi ya kutafsiri hii.
Amos 1:3-4
Kwa dhambi tatu...hata kwa nne
"Kwa dhambi nyingi...kwa dhambi nyingi sana" au "Kwa sababu...ana dhambi nyingi sana, anamefanya dhambi nyingi sana kuliko niwezavyo kuruhusu"
sitabadilisha adhabu
"Hakika nitawaadhibu wale watu"
Amos 1:5
kumkatilia mbali mtu
Hapa "katilia" inamaanisha aidha "kuharibu" au " kutoa."
yule mtu ashikaye fimbo ya kifalme katika Beth Edeni
Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatfsiri hii kuwa mtu mmoja aishiye katika Biqati Aveni
mtu ambaye aishiye katika Biqati Aveni.
Baadhi ya matoleo ya kisasa yametafsiri hii kumaanisha, "Watu ambao waishio katika Biqati Aveni." Matoleo ambayo yana "mtu" kawaida yanatafsiri hii maana dhahiri kumaanisha mfalme.
Biqati Aven...Beth Edeni...Kiri
jina la miji.
Edeni
tofauti na Bustani ya Edeni
yule mtu ashikaye fimbo ya kifalme
mfalme au mkuu
Amos 1:6-7
Kwa dhambi tatu...hata nne, sintobadilisha adhabu
tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3.
Amos 1:8
katilia mbali
Hapa "Katilia" inamaanisha aidha "kuharibu" au kutoa."
yule mtu aishiye katika Ashdodi
Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsri hii kumaanisha, "watu waishio katika Ashdodi." Matoleo ambayo yana "mtu" mara zote hutafsiri hii dhahiri kumaanisha mfalme.
mtu ashikaye fimbo ya kifalme kutoka Ashkeloni
Baadhi ya matoleo ya kisasa yametafsiri hii kuwa mtu mmoja anayeishi Ashdodi.
Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni
au "nitapigana dhidi ya Ekroni"
Amos 1:9-10
Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadili adhabu
Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3
agano lao la undugu
"makubaliano waliyoyafanya kuwatendea kama kaka"
Amos 1:11-12
Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu
Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3.
ghadhabu yake ikabaki milele
"ghadhabu yake imebaki hata leo"
Bozra
Tazama: tafsiri ya majina
Amos 1:13
Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu
Tazama jinsi ya kutafsri haya maneno katika 1:3.
Amos 1:14-15
pamoja na dhoruba katika siku ya kimbunga
"pamoja na mambo mengi mabaya yanayotokea yote kwa pamoja"
dhoruba...kimbunga
aina mbili za upepo mkali sana
kimbunga
dhoruba ambayo iendayo kuzunguka katika duara.
Amos 2
Amos 2:1
"Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu
Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3.
chokaa
majivu yaliyobaki wakati
Amos 2:2-3
Keriothi
Tazama: tafsiri ya majina
Moabu atakufa
"Watu wa Moabu watakufa"
Amos 2:4-5
Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu
Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3.
Uongo wao
Hili neno hapa ni kama linamaasha "miungu ya uongo" au "sanamu."
kupotea...kutembea
Kuabudu sanamu imezungumziwa kana kwamba watu walikuwa wakitembea nyuma ya hawa miungu wa uongo.
Amos 2:6
Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu
Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3.
Amos 2:7-8
hekalu
dhuru kwa sababu maalumu na kurudi tena na tena kuendele
wanasukuma kukandamiza
"walikataa kusikiliza wakati ukandamizaji usemapo wanawatenda vibaya"
Amos 2:9-10
ambaye urefu wake ulikuwa kama urefu wa mierezi; alikuwa na nguvu kama mialoni
"ambao walikuwa warefu kama miti mirefu uijuayo na imara kama mti imara zaidi uujuayo"
Amos 2:11-12
Yahwe asemavyo
Mungu amesema
Amos 2:13-14
Tazama
"Sikiliza" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambai."
Amos 2:15-16
Apindaye upinde
"apindaye upinde atakimbia"
mkimbiaji sana hatakimbia
"mkimbiaji wa kwanza atanyakuliwa"
mwendesha farasi hatajiokoa
"mwendesha farasi atakufa"
kimbia uchi
Maana ziezekanazo 1) "kimbia bila silaha zake" au 2) "kimbia bila nguo."
Yahwe asemavyo
Mungu ameagiza.
Amos 3
Amos 3:1-2
neno
"Neno" linarejea kwenye kitu ambacho mtu amesema. Njia tofauti tofauti za kutafsiri neno "neno" au "maneno" inajumuisha, "kufundisha" au "ujumbe" au "habari" au "kusema" au "kilichosemwa." Wakati inamrejelea Yesu kama "Neno," hili neno lingetafsiriwa kama "ujumbe" au "usemi."
Yahwe
Neno "Yahwe" linatokana na jina ambalo alilojifunua wakati alipozungumza na Musa kwenye kichaka kilichokuwa kikiungua. Neno "Yahwe" linatokana na neno linalomaanisha, "kuwa" au "kuishi."
Israeli, Waisraeli, taifa la Israeli
Neno "Israeli" ni jina la Mungu alilokuwa amempa Yakobo. Linamaana, "amepambana na Mungu."
familia
Neno "familia" linarejea kwenye kundi la watu ambao wanauhusiano wa ndugu na kawaida inamuhusisha baba, mama, na watoto. Mara chache inawahusisha ndugu kama vile babu na bibi, wajukuu, wajomba na shangazi. Neno "familia" pia limetumika kurejea kwa watu ambao wanauhusiano kiroho, kama vile watu ambao ni sehemu ya familia ya Mungu kwa sababu wanamwamini Yesu.
Misri, Wamisri
Misri ni nchi katika upande wa kaskazini mwa Afrika, kuelekea kusini mashariki mwa nchi ya Kanaani. Mmisri ni mtu anayetoka nchi ya Misri.
aliyechaguliwa, chagua, watu waliochaguliwa, Aliyechaguliwa, teule
Neno, "mteule" maana halisi "waliochaguliwa" au "watu waliochaguliwa" na inarejea kwa wale ambao Mungu amewateua au kuwachagua kuwa watu wake. "Aliyechaguliwa" au "Aliyechaguliwa na Mungu" ni jina linalomrejea Yesu, ambaye ni Masiha aliyechaguliwa.
adhibu, adhabu
Neno "adhibu" linamaanisha kumsababisha mtu kuteseka kwa matokea hasi kwa kufanya jambo lisilo sahihi. Neno "adhabu" linarejea kwa matokeo hasi ambayo yametolewa kama matokeo ya hiyo tabia mbaya.
dhambi, enye dhambi, mwenye dhambi, kufanya dhambi
Neno "dhambi" linarejea kwa matendo, mawazo, na maneno ambayo ni kinyume na mapenzi ya Mungu na sheria. Dhambia inaweza kurejewa kwa kutokufanya kitu ambacho Mungu anataka tufanye.
Amos 3:3-4
Maelezo ya Jumla:
Mungu atajibu haya maswali katika 3:7.
Amos 3:5-6
Maelezo ya Jumla:
Mungu atajibu haya maswali katika 3:7.
Amos 3:7-8
Hakika Bwna Yahwe hatafanya kitu vinginevyo amewafunulia...manabii
"Bwana Yahwe atajifunua kwanza...manabii kabla hafanya chochote"
Amos 3:9-10
Yahwe asemavyo
Usemi wa Mungu.
Amos 3:11-12
kulalia
kiti kikubwa laini kwa kulala juu yake
pamoja na pembe ya kulalia, au pembe ya kitanda
Hiki kifungu kati Ebrania ni kigumu kuelewa, na baadhi ya matoleo yametafsiri kwa utofauti. Tafsiri ya UDB, imepangwa kwa baadhi ya matoleo ya kisasa, inatumia tashbihi. Inatamaana kwamba Waisraeli pekee wachache wataokoka, kama mmiliki wa nyumba angeweza kuokoa sehemu chache ya samani wakati nyumba yake inashika moto.
Amos 3:13-14
asemavyo Bwana Yahwe
Bwana Mungu Yahwe anazungumza.
pembe za madhabahu
Hizi zinaonekana kama pembe za ng'ombe zikitoka kutoka ambapo pande zote kuja pamoja kwa juu na zilikuwa alama kuonyesha jinsi mungu alivyokuwa hodari.
Amos 3:15
nyumba ya baridi pamoja na nyumba ya hari
"nyumba zote"
pembe
meno na pembe za wanyama wakubwa
asemavyo Yahwe
Mungu anazungumza.
Amos 4
Amos 4:1-2
watakapowaondoa kwa ndoana, wa mwisho wenu na ndoana za kuvulia samaki
Hii mistari miwili kimsingi inamaanisha kitu kimoja na kusisitia kwamba adui atawanyakua watu kama watu wakatavyo samaki. "kuwashinda wote na kuwalazimisha kwanda nao pamoja" au "kuwaweka juu ya ndoana kama samaki na kukuchukua."
Amos 4:3
bomolewa kwenye kuta za mji
Sehemu ambazo adui alizivunja chini ukuta wamji kuingia
mtajitupa mbele ya Harmoni
"watakutupa nje kuelekea Harmoni" au "maadui zako watakulazimisha kuondoka mjini na kwenda Harmoni"
Harmoni
Hii inaweza kuwa sehemu ambayo hatuijui. Au unaweza kurejelewa mlima wa Hermoni, na baadhi ya matoleo ya kisasa yameitafsiri kwa njia hii.
hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Hiki kirai kimetumika kuonyesha kwamba mambo aliyoyaongelea Mungu hakika yatatokea. Bwana Mungu anasema.
Amos 4:4-5
Nendeni Betheli na uovu, hata Gilgali mkaongeza dhambi
"Kwa sababu mmekataa kutubu, sadaka mtoazo katika Betheli na Gilgali pekee huniongeza asira zaidi"
leteni dhabihu zenu...zaka zenu...toeni sadaka za shukrani...tangazeni sadaka za hiar; zitangazeni
Kama lugha yako inanjia ya kuonyesha kwamba watu walikataa kuelewa kwamba kufanya haya mambo itawafanya vibaya lakini hayasimama kuwafanya, unaweza kutaka kuitumia hapa.
zaka zenu kila baada ya siku tatu
Badala ya "kila baada ya siku tatu," baadhi ya matoleo yana "kila baada ya miaka mitatu." Hi ni kwa sababu Waisraeli walitakiwa kuleta zaka zao kwa Mungu mara moja kila baada ya miaka mitatu.
asemavyo Bwana Yahwe
Bwana Mungu anasema.
Amos 4:6-7
usafi wa meno
"njaa" au "masumbuko"
hamkurudi kwangu
"hamjaacha kutenda dhambi juu yangu"
asemavyo Yahwe
Mungu Yahwe anazungumza.
Amos 4:8-9
Nimewapiga kwa maradhi yanayosababisha kuvu
"Wakati mwingine nawapatia mvua kidogo na wakati mwingine mvua kubwa"
maradhi
ugonjwa ambao unakausha na kuua mimea
ukungu
ukuaji mbaya kwenye vitu ambavyo vibakivyo na unyevu kwa mda mrefu
hamkunirudia
"hamjaacha kutenda dhambi juu yangu"
asema Yahwe
Bwana Mungu anazungumza.
Amos 4:10-11
kuufanya uvundo wa kambi zenu na kuingiza kwenye pua zenu
"Hewa iliyojazwa kwa
uvundo
harufu mbaya sana, hasa ya watu waliokufa
Milikuwa kama kijinga kilichokuwa kikiteketea kwenye moto
"Nimewavuta haraka kutoka kwenye moto kama mlikuwa kijinga kilichokuwa kikiteketea" au "Niwaache muungue sehemu kabla sijawavuta kutoka kwenye moto."
hamkunirudia
"hamjaacha kutenda dhambi juu yangu"
asema Yahwe
Mungu amezungumza
Amos 4:12-13
Israeli, Waisraeli, taifa la Israeli
Neno "Israeli" ni jina ambalo Mungu alimpa yakobo. Linamaana, "ameshindana na Mungu."
Mungu
Katika Biblia, neno "Mungu" linarejea kwenye kuwa milele aliyeumba ulimwengu wote kutoka bila kitu. Mungu anaisha kama Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Jina la Mungu ni "Yahwe."
funuo, ufunuo
Neno "funuo" maana yake kusababisha jambo kujulikana. "ufunuo" ni kitu ambacho kilichukuwa kimefanywa kujulikana.
mahali pa juu
Neno "mahali pa juu" linarejea kwenye madhabahu na sehemu takatifu iliyokuwa ikitumika kwa ajili ya kuabudu sanamu. Yalikuwa yamejengwa kawaida juu ya aridhi, kama juu ya mlima au pembeni ya mlima.
Amos 5
Amos 5:1-2
Bikira wa Israeli ameanguka...ata...ana...mwinue
"watu wa Israeli kikatili...wata...wame...wainue"
Amos 5:3
Bwana Yahwe, Yahwe Mungu
Katika Agano la Kale, "Bwana Yahwe" mara kwa mara limetuika limerejea kwa Mungu wa kweli mmoja."
nyumba
Neno "nyumba" mara nyingi limetumika katika Biblia. Wakati mwingine linamaanisha "kaya," kurejea watu waishio pamoja katika nyumba moja. Mara nyingi "nyumba" hurejea kwa ukoo wa mtu au ndugu wengine. Kwa mfano, kirai "nyumba ya Daudi" hurejea kwa koo zote za Mfalme Daudi. *Maneno "nyumba ya Mungu" na "nyumba ya Yahwe" hurejea kwa hema au hekalu. Haya maelezo pia unaweza kurejea kiujumla mahali Mungu alipo au makao.
Israeli, Waisraeli, taifa la Israeli
Neno "Israeli" ni jina ambalo Mungu alipatia Yakobo. Lina maana, "amepigana na Mungu."
Amos 5:4-5
Nitafuteni
"Njoo kwangu kwa ajili ya msaada"
Betheli haitakuwa kitu
"Betheli ataharibiwa kabisa" "watu watakuja na kuiharibu Betheli kabisa"
Amos 5:6-7
atawaka kama moto
"atakuwa kama moto uwakao ghafla na kuharibu kila kitu"
kugeuza kutenda haki kuwa jambo chungu na kuiangusha haki chini
kuita mambo maovu mema na kutenda mambo kama yasiyo muhimu
geuzao haki kuwa jambo chungu
au "kugeuza haki" au "kufanya isiyo haki lakini kusema ni haki"
kuiangusha haki chini
au "tena haki kama ingawa ilikuwa sio muhimu kama uchafu"
Amos 5:8-9
Pleidezi na Orioni
makundi ya nyota
Amos 5:10-11
kanyaga chini
"uonevu mkubwa"
Amos 5:12-13
kuwageuza wahitaji kwenye lango la mji
"msiwaruhusu maskini kuleta kesi zao kwa mahakimu"
kila mtu mwenye busara atanyamaza kimya
Wale ambao hawataki haki watu waovu kuwaumiza hawataongea kwa sauti juu ya matendo maovu.
Amos 5:14-15
imarisheni haki katika lango la mji
au "ona haki imetendeka katika mahakama kwenye malango ya mji"
Amos 5:16-17
Kuomboleza
mda mrefu, sauti, kilio cha huzuni
Amos 5:18-20
Kwa nini mnairefusha siku ya Yahwe?
"Msiirefushe siku ya Yahwe!"
Itakuwa giza na sio nuru
"Mambo mabaya, sio mambo mazuri, yatatokea siku hiyo"
Je siku ya Yahwe itakuwa giza na sio nuru?
"Siku ya Yahwe itakuwa giza hakika na sio nuru!" au "Mambo mabaya, sio mambo mazuri, yatatokea hakika katika siku ya Yahwe!"
Amos 5:21-22
Nachukia, nadharau sikukuu zenu
Neno "dharau" ni neno zito kwa "chuki." Kwa pamoja maneno yote mawili yanasisitiza msisitizo wa chuki ya Yahwe kwa ajili ya sikukuu zao za kidini. "Nachukia sikukuu zenu sana."
Amos 5:23-24
kelele
sauti mbaya
Amos 5:25-26
Je! Mmeniletea sadaka...Israeli?
Uweekano 1) "sijawaamuru mniletee matoleo...Israeli!" au 2) "hamkuleta matoleo kwa ajili yangu!" 2) "hamkuniletea matoleo kwa ajili yangu...Israeli!"
Sikuthi...Kiuni
miungu ya kipagani
Kiuni
Au "Kiyuni"
Amos 5:27
kuhamisha, uhamisho
Neno "uhamisho" hurejea kwa watu kulazimishwa mahali fulani mbali kutoka nyumbani kwao.
Damaskasi
Damaskasi ni mji mkubwa wa nchi ya Siria. Bado upo katika sihemu hiyo hiyo kama ilivyokuwa katika nyakati za Biblia.
Yahwe
Neno "Yahwe" ni jina binafsi la Mungu ambalo alijifunua wakati alipoongea na Musa katika kicha kilichokuwa kikiteketea.
Yahwe wa majeshi, Mungu wa majeshi, jeshi
Maneno "Yahwe wa majeshi" na "Mungu wa majeshi" kidogo yanaonyesha kwamba mamlaka ya Mungu zaidi ya maelfu ya malaika wanaomtii. Neno "jeshi" au "majeshi" ni neno ambalo linarejea kwa hesabu kubwa ya kitu, kama jeshi la watu au namba kubwa ya nyota. Katika Agano Jipya, kirai, "Bwana wa majeshi" inamaanisha kitu kile kile kama "Yahwe wa majeshi" lakini haiwezi kutafsiriwa kwa njia hiyo kwani neno la Kiebrania "Yahwe" halikutumika katika Agano Jipya.
Amos 6
Amos 6:1-2
starehe
kustarehe na sio kuhusiana kwamba Mungu atawahukumu
Je ni wabora kuliko falme zenu mbili?
"Si wabora kuliko falme zenu mbili."
je mpaka mkubwa kuliko mpaka wenu
"Mipaka yao ni midogo kuliko yenu." au "Zile nchi ambazo ni ndogo kuliko Yuda na Samaria."
Amos 6:3-4
fanya ufalme kuwa kinyume kusogea karibu
"tenda katika njika ambayo Mungu ataleta watu wakali sana kuwahukumu"
ufalme wa kinyume
"adui wa kinyume na utawala"
lala...pumzika
Israeli katika kipindi kile kawaida walikuwa wakila wakiwa wameketi juu ya nguo ya sakafu au kwenye kti rahisi.
vitanda vya pembe
"vitanda pamoja na pembe juu yao kuwafanya kuonekana vizuri" au "vitanda vya gharama kubwa"
pembe
meno na pembe za wanyama wakubwa
pumzika
"kulala kama watu ambao hawataki kufanya kazi"
kochi
viti laini vikubwa kutosha kulala juu
Amos 6:5-6
wanatunga juu vyombo
Maana ziwezekanazo: 1) wametunga nyimbo mpya na njia ya kucheza vyombe au 2) wametunga ala mpya.
bakuli
bakuli zilitumika katika huduma za hekalu, kubwa kuliko zile zilizotumika kwa mtu katika mlo
hawahuzuniki
"hajisikii huzuni na kutenda kama kupitia yule aliyependwa aliyekufa"
Amos 6:7-8
asema Bwana Yahwe
Mungu mwenyewe anatoa maagizo.
Nachukia boma zake
"Nawachukia watu wa Israeli kwa sababu wanaamini boma zao, sio mimi, kuwalinda wao"
boma
kuta zilizojengwa kuzunguka miji kuwalinda kutoka kwa washambuliaji
Amos 6:9-10
ndugu wa mtu huyo atakapokuja kuchukua miili yao-yule ambaye awachomaye baada ya kuleta maiti katika nyumba-kama akisema kwa mtu katika nyumba,..."Je...wewe?
Mana ya haya maneno hayako wazi. "Ndugu wa huyo mtu" ni yule atakaye "chukua miili yao" na kuichoma...maiti," na akaongea na yule aliyejificha katika nyumba baada ya watu wa familia kumi kufa.
choma
choma maiti
maiti
miili iliyokufa
Amos 6:11
Tazama
"Sikiliza" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kuwaambia."
nyumba kubwa itapigwa kuwa vipande vipande, na nyumba ndogo kuwa na nyufa
Hivi virai viwili vinashirikiana maana moja. Tofauti kati ya "nyumba kubwa" na "nyumba ndogo" inamaanisha kwamba hii inarejea kwa nyumba zote. Maana ziwezekanazo: 1) Yahwe atawaamuru wengine kuiharibu kila nyumba au 2) Yahwe mwenyewe ataiharibu kila nyumba mwenyewe kirahisi kwa kutoa amri.
nyumba kubwa itapigwa kuwa vipande vipande
"adui ataiseta nyumba kubwa kuwa vipande vipande"
kuwa vipande vipande...kuwa vipande
Unaweza kutumia neno hilo hilo kwa virai hivi vyote.
ndogo kuwa vipande vipande
"nyumba ndogo itasetwa kuwa vipande vipande"
Amos 6:12-13
Maelezo ya Jumla:
Amosi anatumia maswali mawili yasiyokuwa na majibu kuvuta mawazo kuwakemea hao wafuatao.
Je farasi watakimbia juu ya mteremko wa miamba?
Inawezekana kwa farasi kukimbia juu ya mteremko wa mwamba bila kuumia. Amosi anatumia swali hili lisilokuwa na majibu kuwaonya kwa matendo yao.
Je mtu atalima huko na ng'ome?
Mmoja hatalima juu ya mwamba. Amosi anatumia hili swali lisilokuwa na majibu kuwakemea kwa matendo yao.
Bado mmegeuza haki kuwa sumu
"Lakini umetengeneza sheria"
na tunda la haki kuwa uchungu
"na huwaadhibu wale wafanyao yaliyo haki"
Lo Debari...Karnaimu
Hakuna anayejua hii miji ilikuwa wapi.
Amos 6:14
tazama
"sikiiza" au "kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambai."
asema Bwana Yahwe
Hapa Mungu ananukuliwa.
kutoka Lebo Hamathi hata kijito cha Araba
"kutoka mpaka wa kaskazini mwa mchi yako hata mpaka wa kusini"
kijito
mto mdogo ambao hububujika kipindi cha majira ya unyevu pekee
Amos 7
Amos 7:1-3
Tazama...tazama
Mwandishi anawaambia wasomaji kwamba anataka kusema jambo la kushangaza. Lugha yako yaweza kuwa na njia ya kufanya hivi.
Je! Yakobo ataokokaje?
"Yakobo hawezi kuokoka"
Amos 7:4-6
Tazama
Mwandishi anamwambia msomaji kwamba jambo la kushangaza linalotaka kutokea. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kufanya hivi.
Je! Yakobo ataishije?
"Yakobo hataokoka hakika!" au "Tafadhali mwambie Yakobo kwamba anahitaji kufanya hivyo aweze kuishi!"
Amos 7:7-8
uzi wa timazi
kamba nyembamba pamoja na uzito upande mmoja wa mwisho uliotumika kuhakikisha kuta kusimama wima na chini
Amos 7:9
Isaka...Israeli
watu wa ufalme wa kusini mwa Israeli
Amos 7:10-11
Kuhani
Maana ziwekanazo: 1) Amazia alikuwa kuhani pekee katika Betheli au 2) Amazia mkuu wa makuhani katika Betheli.
amosi amefanya njama dhidi yako katikati ya nyumba ya Israeli
"Amosi yuko hapa katika nchi ya Israeli, na anapanga kufanya mambo mabay kwako"
Nchi haiwezi kubeba maneno yote haya
"Watu wanaweza kumwamini na kisha kufanya mambo mabaya yatakayo haribu taifa"
Amos 7:12-13
hapo ule mkate na kutabiri
"ona kama unaweza kuwapata watu huko wa kukulipa kwa ajili ya kutabiri"
Amos 7:14-15
mchungaji wa mifugo
Hii hapa ni kama inamaanisha "yeye ambaye achungaye kondoo" tangu aitwe "mchungaji" katika 1:1.
Amos 7:16-17
nchi najisi
Huu usemi unasimama hapa kwa ajili ya yeyote ngeni, ambapo watu hawakubaliki kwa Mungu.
Amos 8
Amos 8:1-3
Tazama
"sikiliza" au "Vuta usikivu kwa kile ninachotaka kukwambia."
Yahwe mwenye amezungumza
asemavyo Bwana Yahwe
katika kila mahali
"katika mahali pangu"
Amos 8:4-6
ninyi mkanyagao... na kumuondoa
Amosi anazungumza na wale ambao "huuza" na "soko"
hekalu
dhuru kwa sababu maalumu na kurudi tena na tena kuendelea
Husema, "Wakati mwezi mpya utakapoisha, hivyo tunaweza kuuza mazao tena? Wakati siku ya Sabato itakapoisha, ili kwamba tuuze ngano?
"Mara zote wanauiza ni lini mwezi mpya utaisha ili wauze nafaka tena, na ni lini Sabato itaisha ili wauze ngano."
Tutafanya kipimo kidogo na kuongeza bei, tukidanganya kwa mizani za udanganyifu
Wafanyabiashara wangetumia vipimo vya uongo vinavyoonyesha kile kiasi cha nafaka walichokuwa wakitoa kilikuwa kikubwa kuliko ilivyokuwa halisi na ule uzito wa malipo ulikuwa chini kuliko ilivyokuwa halisi.
na masikini kwa jozi moja ya kubadhi
"na nunua jozi moja ya kubadhi kwa ajili ya mhitaji"
Amos 8:7-8
Yahwe ameapa kwa fahari ya Yakobo
"Yahwe ameapa yeye mwenyewe, kusema" au Yahwe, ambaye ni fahari ya Yakobo, ameapa"
mto wa Misri
jina jingine kwa ajili ya Mto naili
Amos 8:9-10
asemavyo Bwana Yahwe
Mungu mwenyewe ameagiza hivo
Amos 8:11-12
asemavyo Bwana Yahwe
Mungu mwenyewe ameagiza
watatangatanga...watkimbia
Baadhi watatembea polepole na kuanguka chini kirahis, kama mtu mwenye njaa, na wengine watakuwa hapa na huko upesi.
kutoka bahari hata bahari; watakimbia kutoka kaskazini kwenda magharibi kutafuta neno
"kutoka bahari hata bahari na kutoka kaskazini hata magharibi. Watakuwa wakikimbia kutafuta neno."
kutoka bahari hata bahari...kutoka kaskazini kwenda magharibi
Kwa ajili ya mtu aliyesimama Betheli, hii ingeweza kuwa mduara: Bahari mfu (kusini) hata Mediterania (magharibi) hata kasikazini hata magharibi.
Amos 8:13-14
zimia
kupoteza nguvu zao zote
Kama njia ya iendayo Bersheba ionekanavyo
Hii ni kama kumbukumbu kwenye barabara ambayo wanaohiji wangeichukua kwenda Bersheba kwa ajili ya kuabudu sanamu huko.
Amos 9
Amos 9:1-2
Vivunje vipande
Maana ziwezekanazo: 1) kuvunja vipande vya hekalu au 2) vunja ncha za nguzo.
Hata kama watachimba kwenye Sheoli, kuna mkono wangu utawachukua. Hata kama watapanda juu kwenda mbingunu, huko nitawaleta chini
"Haijalishi wanajaribu kwenda wapi, intakuwa huko kuwashikilia."
Amos 9:3-4
joka
mnyama mkali wa baharini asiyejulikana, sio nyoka katika bustani ya Edeni na sio nyoka wa kawaida
Nitaelekeza macho yangu juu yao
Kama lugha yako inamaneno ambayo yanamaanisha mzungumzaji anataka kufanyia wengine mazuri lakini pia inaweza kutumika wakati mzungumzaji anapotaka kufanya madhara, unaweza kuitumia hapa.
na sio kwa uzuri
maneno kuhakikisha usikivu huelewa "kwa kuumiza"
Amos 9:5-6
yeye ndiye avijengaye vyumba vyake mbinguni
Hizi ni kama hatua ambazo watu wa kale walitafakari kuongozwa kwenda sehemu ya Mungu mbinguni. Ingawa, baadhi ya matoleo ya kisasa yanategemea kusoma neno la Kiebrania tofauti kumaanisha "mahali" au "vyumba." Hapa "hatua zake" ni kama hutumika kama kirai kwa ajili ya mahali pa Mungu.
na kuimarisha kuba yake juu ya dunia
Baadhi ya matoleo yametafsiri "ameimarisha mhimili wake juu ya dunia," hiyo ni, miundo ambayo dunia hupumzika.
Amos 9:7-8
asema Yahwe
Mungu mwenyewe amezungumza
Amos 9:9-10
mtu apepetaye ngano kwenye ungo, hivyo basi hakuna hata chembe ya jiwe itakayoanguka kwenye aridhi
Hapa ni picha ya nafaka zinazoanguka kwenye ungo na mawe kutolewa nje. Baadhi ya matoleo yanaelewa "sio mawe madogo yatakayoanguka" kumaanisha nafaka nzuri hazitaangukia kwenye ungo pamoja na malghafi yasiyohitajika.
ungo
uso wenye matundu madogo unaoruhusu vitu kupita na kuweka vitu vikubwa visipite
Amos 9:11-12
hema...matawi...magofu
Baada ya Yahwe kuuharibu ufalme wa Israeli, itakuwa kama hema ambazo nguzo zake za miti zimevunjika, ule ukuta uliokuwa umeanguka chini katika sehemu hiyo hiyo, na ile nyumba iliyokuwa imeangushwa chini.
matawi
sehemu za ukuta ambazo zimeanguka
magofu
kile kinachosalia wakati jengo limeharibiwa
mabaki ya Edomu
vyovyote kile ambacho Israeli haijatakiwa katika mkoa au watu wa Edomu.
Amos 9:13
Tazama
Mwandishi anawaambia wasomaji kwamba anaenda kusema jambo jipya. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya kufanya hivi.
Milima itadondosha divai tamu, na milima yote itabubujika pamoja na hiyo.
Hii mistari miwili kimsingi ni kitu kimoja na kusisitiza kwamba nchi itazalisha sana.
Amos 9:14-15
hawatang'olewa tena kutoka kwenye nchi
"hakuna mtu atakayeweza kuwang'oa tena kutoka kwenye nchi" "wataishi milele katika nchi kama mmea uwekavyo mizizi yake kwenye aridhi"
ng'oa
vuta mmea mizizi yake nje ya aridhi