Kiswahili: Open Bible Stories Translation Notes

Updated ? hours ago # views See on DCS Draft Material

11-01

Mzaliwa wa kwanza wa kiume wa watu na wa wanyama

Hii inaweza kutafsiriwa kama, mtoto wa kwanza kwa kila familia na mzaliwa wa kwanza wa kiume wa yeyote wa wanyama

11-02

Mungu katoa

Mungu ndie mmoja tu ambaye angeweza kutoa njia ya kuwaokoa Wana Israeli na mauti.

Mwanakondoo mkamilifu

Kwamba ni, Mwanakondoo au Mbuzi ambae hatalaumiwa wala kukosolewa.

11-03

Isiyotiwa chachu

Chachu ni kitu kinachochanganywa na unga wa mkate, kinachofanya unga uumuke na pia kufanya unga kupanuka na pia kufanya unga kuinuka kuwa kama bakeri. Hii inaweza kutafsiliwa kama alifanya bila kitua ambacho kinge iinua, kufanya Mkate na chachu ingekuwa kupoteza muda mrefu, hivyo kupitia Mkate usiotiwa chachu ilikuwa njia ya yajiandaa kuondoka Misri kwa haraka.

Wakati wakila

Hii inamaanisha walihitaji kuwa tayari kuondoka kabla ya kuanza kula.

11-04

Kila mzariwa wa kwanza

Hii inamaanusha kila mzariwa wa kwanza kwenye familia ambae hajatoa sadaka ya damu yule ambae ni Mmisri, kufanya hii wazi unaweza ukahitaji kuongeza, "Kila mzaliwa wa kwanza wa Misri." Tangu familia zote za Israeli walipakaa damu juu ya Milango yao.

11-05

Alipita juu

Hii inamaanisha kuwa Mungu alipita kila Nyumba wala hakuacha kuua mtu yeyote huko. Msemo huu ulikuwa ni jina la Tamasha la Wayahudi yaani "Pasaka."

Waliokolewa

Mungu hakuwaua wazariwa wake wa kwanza.

Kwa sababu ya damu ya Kondoo

Hii inaweza kutafsliwa kama, "kwasababu Damu ya Kondoo ipo kwenye Milango yao," akaona ya kwamba waliwaua kondoo zao kwa amri, kwahi nae hakuwauwa watoto wao.

11-06

Hawakumwamini Mungu wala kutii Amri zake

Kwa baadhi ya lugha inaweza kuwa zaidi ya asili au wazi kusema, "hawakuamini Mungu na hivyo hakuwa na kutii amri zake."

Hakupita juu

Naye hakupita kwenye nyumba zao, badala yake walisimama katika kila nyumba na kuwaua watoto wao wakubwa.

11-07

tangu mzaliwa wa kwanza wa mfungwa katika jela, hadi mzaliwa wa kwanza wa Farao

Hii ni njia ya kusema kwamba kila mtu mzaliwa wa kwanza alikufa-kutoka mwana wa mtu angalau muhimu mwana wa mtu muhimu zaidi, na kila mtu kati yao.

11-08

walioitwa kwa ajili ya

Hii inamaanisha kwamba Farao aliwaambia watumishi wake wamwambie Musa na Haruni waende kwake

Akasema

Farao akasema maneno ya fuatayo kwa Musa na Haruni baada ya wao kuja kwake. Katika baadhi ya lugha hii inaweza kutafsiriwa kama, "na akawaambia au baada ya kuja, Farao akawaambia."