12-01
Hawakuwa watumwa tena
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "hawakuwa watumwa tena."
Kwenda
Baadhi ya lugha hutumia baadhi ya maneno maalumu kama "kusafiri" tangu walipokuwa wakienda umbali mrefu kuelekea Nchi ya ahadi.
Nchi ya Ahadi
Hii ni Nchi ambayo Mungu aliahidi ya kwamba atawapatia kizazi cha Ibrahimu.
12-02
Nguzo ndefu ya Wingu
Hii inaweza kutafsiriwa kama "mawingu marefu" au "mawingu muundo wa nguzo."
Nguzo ndefu ya Moto
Hii ilikuwa safu ya moto kwamba ning'inia au pachikwa angani mbele ya Israeli.
Aliwaongoza
Mungu aliwaonyesha njia kwa kuweka nguzo kuelekea mbele yao ili waweze kuifuata.
12-03
Baada ya muda mfupi
Pengine angalau baada ya siku mbili walikuwa wamekwenda. Ili iweze kueleweka inaweza kutafsiriwa kama, "baada ya siku chache" au, "siku chache baada ya Waisraeli kuoindoka Misiri."
Badilisha mawazo yake
Msemo huu unamaanisha, "walianza kufikiri tofauti kuliko walivyokuwa kabla." Baadhi ya lugha haziwezi kuwa na maelezo ambayo hueleza hiyo maana moja kwa moja.
12-04
wao walikuwa wamenaswa kati ya Bahari Nyekundu
Njia nyingine ya kusema hii itakuwa, "hapakuwa na mahali wangeweza kwenda ili kutoroka huku nyuma yao Wamisri wanawafuata na mbele yao kuna Bahari Nyekundu."
Kwa nini tuliondoka Misri
Hii ina maana, "Hatukupaswa kuondoka Misri!" Hawakuwa sahihi kuuliza sababu. Kwa sababu walikuwa na hofu, katika wakati huu waliamini kuwa hawataondoka Misri, (ingawa kulikuwa kugumu sana kwa wao huko).
12-05
Mungu atakupigania wewe leo na kukuokoa
Njia nyingine ya kusema hii itakuwa, "Leo Mungu atawashindia Wamisri kwa ajili yenu, na kuwaweka ili wasiwadhuru ninyi."
Endelea
Baadhi ya lugha itakuwa maalum zaidi na kusema "endelea."
12-06
Hawakuweza kuona
Nguzo ya Wingu ilikuwa kubwa na nene kiasi kwamba Wamisri hawakuweza tena kuwaona Waisraeli. Kuona katika 12-2.
hakuweza kuona
Wingu nguzo ilikuwa hivyo kubwa na nene kwamba Wamisri hakuweza tena kumuona yoyote wa Israeli.
12-07
Aliinua mkono wake juu ya Bahari
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "alinyoosha mkono wake juu ya Bahari. Hii ilikuwa ishara ya kuonyesha kuwa Mungu alikuwa akifanya muujiza kupitia Musa.
12-08
Walitembea
Hii inaweza kutafsiriwa kama " walitembea" au, "walienda."
Na ukuta wa Maji kila upande wao
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "na maji katika pande zote yaliwazunguka yaliyosimama marefu na yaliyonyooka kama ukuta."
12-10
Katisha kwenye Bahari
Hili lilikuwa eneo kavu la ardhi lililokata chini ya Bahari na ukuta wa maji kila upande.
Kuwa na wasiwasi
Hii inaweza kutafsiriwa kama "kupata hofu na kuchanganyikiwa."
wakakwama
Magari yao ya farasi hayakuweza kuendelea na safari
12-11
Wakavuka salama kwenda upande mwingine
Hii inawezakutafsiriwa kama, "walitembea salama upande wa pili" au "walifika salama upande mwingine" au "walitembea upande mwingine na walikuwa salama kutoka kwa Wamisri na Bahari."
nyoosha mkono wake tena
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "nyoosha mkono wake kuelekea baharini tena" au "kama amri ya moja kwa moja, kama ilivyo katika "Mungu alimwambia Musa, 'Nyoosha mkono wako tena.'"
Kurudi kwenye nafasi yake ya kawaida
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "kujaza nafasi tena pale ambapo njia ilipokuwa," au "alijaza bahari yote tena" au "yalirudi kama yalivyokuwa kabla Mungu hajaigawanya."
jeshi lote la Wamisri
Hii inaweza kutafsiriwa kama "kila mmoja katika jeshi la Misri."
12-12
Kuamini katika Mungu
Kwa maneno mengine, watu sasa waliamini kwamba Mungu ana nguvu na angeweza kuwalinda wao.
12-13
walifurahi pamoja kwa msisimko sana
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "walikuwa na furaha na waliionesha kwa shauku," au "waliionesha kwa moyo wote" au "kwa nguvu zao zote."
kutoka katika kifo na utumwa
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "Kutoka katika kuuliwa au kufanywa watumwa na Wamisri."
huru kutumika
Mungu aliwaweka huru, au aliwaokoa, Waisraeli kutoka katika hali ya kuwa watumwa katika Misri ili kwamba waweze kumtumikia.
Mungu asifiwe
Katika baadhi ya lugha hii inaweza kutafsiriwa kama, 'kuinua jina la Mungu' au, 'kusema kwamba Mungu ni kubwa.'
12-14
Pasaka
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "shughuli ya Pasaka" au, "sikukuu ya Pasaka" au, "mlo wa Pasaka."
kukumbuka jinsi Mungu alivyowapa ushindi
Hii inaweza kutafsiriwa kama, "mara kwa mara kujikumbushaushindi wa Mungu." Neno 'kumbuka' hapa haina maana tu kwa kusahau; pia ina maana rasmi kuadhimisha kitu.
Kondoo Mkamilifu
Neno "kamili" hapa linahusu kondoo asiye na ugonjwa au kitu kingine chochote kibaya. Njia nyingine ya kusema hii inaweza kuwa, "Afya kamilifu na Kondoo aliyetakaswa."
Mkate uliotengenezwa bila chachu
Njia nyingine ya kusema hii ni, "Mkate usiotiwa chachu."