20-01
Walivunja agano
Hii ni kwamba, " hawakuzitii amri za Mungu alizowapa ndani ya agano lake katika Mlima Sinai."
Aliwaonya watubu na wamwabudu yeye tena.
Namna nyingine ya kutafasiri ni, " aliwambia waache kutenda dhambi na wamwabudu Yawee badala ya miungu mingine, au mabaya yatawapata."
20-02
Falme zote
Hii ilimanisha falme zote za Israel na Yuda.
Ufalme
Nchi iliitwa "Ufalme" pale ambapo ilikuwa na nguvu kuongeza mamlaka yake kuzitawala nchi zingine."
Kunyang'anya
Hii ni inamaanisha kuwa, "kuiba". waliiba baadhi ya vitu na wakavibeba kuvipeleka Ashuru.
20-03
Wenye ujuzi
Hii inarejea ujuzi wa vitendo kama vile, fundi wa mbao, mtengeneza vyuma na mjenzi.
Walibakia
Inamaanisha, " walibaki" au " waliachwa" au " waliruhusiwa kubaki"
20-04
Wageni katika nchi isiyokuwa yao.
Hii inarejea watu wasiyokuwa wa israel.( wageni katika nchi ya israel).
20-05
Kwa kutokumuamini na kumtii yeye
Namna nyingine ya kusema ni, "Kwa sababu hawakumuamini na kumtii yeye."
Aliwaonya.
Hii ni kwamba, "Aliwaambia waache kutenda dhambi au mabaya yatawapata.
Walikataa kusikia.
Inamaana ya kuwa, "walikataa kutii" au "walikataa kuziacha tabia zao za uovu."
20-06
Ufalme
Angalia namna ilivyotafasiriwa hapo juu
Walikubali kuwa
Mfalme wa Yuda alilazimishwa kati ya kuhudumia ufalme wa babiloni au uharibiwe
Kuwa mtumishi wa Nebukadneza
Inamaanisha ya kuwa, "Kuiongoza Yuda chini ya Amri ya Nebukadneza."
20-07
Walirudi
Hii inaweza kutafasiriwa kama, "kurudi" au "wakarudi Yuda tena."
Wakauteka Mji
Hii ni kwamba, " wakautawala Mji na watu wake,"
Kunyang'anya
Walichukua vitu vya thamani na kuvipeleka Bebiloni.
20-08
Kuadhibu
Nebukadneza alimuadhibu mfalme wa Yuda kwa kuwaambia askari wake wafanye mambo haya.
Mbele yake
inamaanisha ya kuwa, " ambapo angeona" au " ili kwamba angeweza kuona" au " mbele ya macho yake."
akamfanya kipofu
inaweza kutafasiriwa kama, " akamharibu macho yake."
20-09
Kuacha.... nyuma
Hii ni, " kuwaacha watu masikini waishi Yuda" au "kuwaruhusu watu masikini wabaki Yuda."
kwa kipindi hiki
inaweza kutafasiriwa kama, "ichagua aya inayoonyesha mda mrefu, kwa sababu utumwa ulikaa miaka sabini.
mateka
Neno "mateka" liinamanisha mtu anaondolewa kutoka katika nchi yao kwa nguvu. "Utumwa" ulikuwa ni kipindi cha miaka sabini wakati ambapo waisrael walilazimishwa kuishi Babiloni.
20-10
mateka
Angalia tafasiri kwenye simulizi hapo juu
Hakusahau
Hii ingetafasiriwa kama, " hakupuuza" au " hakumtelekeza" kifungu hiki cha maneno kingeweza kutafasiriwa kama, "aliendelea kudhamini kujitoa kwake kwa watu wake na ahadi zake,"
kulinda
Hii ni "kufanya uangalizi wa karibu"
Ongea nao kwa njia ya manabii
Hii ingetafasiriwa kama, waambie manabii wake ujumbe ambao alitaka kuwaambia wa
20-11
miaka sabini baadaye
Hii inamaanisha baada ya kuwa imepita miaka sabini ya jeshi la Babiloni kuwachukua watu wa Yerusalemu utumwani.
Koreshi
Koreshi pia iliitwa, "Koresha yenye nguvu." Jina "Koreshi" ilimanisha " kama jua" kwa lugha ya Uajemi. kwa sababu Koresha ilikuwa ya kihistoria ingekuwa vyema kutafasiri jina lake, kuliko kutafasiri maana.
Waajemi
Ufalme wa kiajemi ulikua na kumiliki eneo lote kuanzia Urusi ya kati mpka Misri. mahali pake pa kuishi ilikuwa ni sehemu kubwa ya sehemu ya leo iitwayo Irani
Waisrael wakaitwa Wayahudi
Hii ingetafasiriwa kama, kwa sasa watu wa Israel huitwa Wayahudi."
Nchi ya Yuda
Hii ni " Sehemu ambapo Ufalme wa Yuda ulikuwepo kabla ya utumwa.Yerusalemi ulikuwa ni mji mkuu wa Yuda.
20-12
Ufalme wa uajemi
Angalia namna ilivyotafasiriwa hapo juu
Koreshi
Angalia namna ilivyotafasiriwa hapo juu
Yuda
Angalia maelezo kuhusu Yuda kwenye simulizi
kurudi kwa Yuda
kwa sababu Wayahudi wengi walikuwa wana na wajukuu wa wale waliobakia Yuda, hawakuwa wameishi Yuda kabla. Baadhi ya Lugha ingekuwa vizuri kusema, " kwenda Yuda."
mateka
Angalia ambavyo imetafasiriwa kwenye simulizi hapo juu
kurudi
Inamaanisha, " walirudi." Lugha zingine zingependa kusema, "rudi" kwa sababu watu wengi hawakuwa wamewahi kufika Yerusalemu.
20-13
Watu
Hawa ni waisrael, uzao wa Yakobo, ambao kwa sasa wanaitwa Wayahudi.
Ukuta
ukuta huu ulikuwa mpana(2.5 mita) na ulijengwa ili kulinda mji dhidi ya maadui.
walitawaliwa na watu wengine
Hii ni kwamba, " taifa jingine liliwatawala. Wayahudi walitawaliwa na Waajemi wakati ule, na badaye mataifa mengine yaliwatawala.
Kwa nafasi nyingine.
kwenye baadhi ya Lugha hii ingetafasiriwa kama, "sasa" au " kama ambavyo mababu zao walifanya" au " kabla tu ya utumwa."
Waliabudu kwenye Hekalu
Walimwabudu Yawee, yeye aliye Mungu wa kweli, katika hekalu walilojenga.