24-01
Nyikani
Ni kwamba ,"jangwa"eneo la kijijini,"Palikuwa na watu wachache waliokuwa wakiishi kwenye eneo hilo
Asali ya porini
,Hii asali ilikuwa ni alisi kutoka kwenye nyuki. huko nyikani.Haikuwa inalimwa na watu.Ikiwa kwamba watu wanaelewa kwa neno "asali"haitajiki kuitwa "pori."
Nzige
Hawa walikuwa wakubwa wadudu warukao kwa mabawa ,kama wakubwa panzi .Baadhi ya watu wanaoishi jangwani huwala.
Manyoya ya ngamia
Ngamia ni mnyama ambaye ana nywele zisizo na mpangilio.Watu huweza kutengeneza nguo nje ya hiyo.Hii inaweza kuwa imetafsiriwa kama mnyama mwenye nywele zisizo na mpangilio.
mavazi yaliyotengenezwa na nywele za ngamia.
Ni kwamba,mavazi ya singa yaliyotengenezwa na nywele za ngamia.Nguo hizo huwezi kiraisi kuvaa nje ya jangwani kama nguo zingine zinavyovaliwa.
24-02
Jangwani
Angalia jinsi wewe unaweza kutafasili hili neno katika 24-1
Tubu
Ingekuwa vizuri kusema ,"tubu kutoka katika dhambi zako."
Ufalme wa Mungu uko karibu
Ni kwamba ,"Ufalme wa Mungu upo tayari kutokea"au,"ufalme wa Mungu utakuja upesi."Hii inarejea Mungu kutawala juu ya watu,.Hii pia inaweza kuwa imetafsiriwa ."Mungu anatawala ni kuhusu mwanzo."au."Upesi Mungu atatawala juu yetu kama mfalme."
24-03
Wakatubu kutoka katika dhambi zao
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa kama ,"walitubu kulingana na dhambi zao"au,"walitoka katika dhambi zao."
Hawakutubu
Ni kwamba, "hawakutoka katika dhambi zao."
Kuungama dhambi zao.
Kuungama ni kukubali kwamba kitu chochote ni kweli.Hawa viongozi hawakutaka kukubali kuwa walifanya dhambi.Hii inaweza kuwa imetafsiriwa kama kuungama kwamba wamefanya dhambi,".
24-04
Enyi nyoka wenye sumu
Hii inawezakuwa imetafsiriwa ,"Mmelala kama nyoka wenye sumu!"Yohana aliwaita wenye sumu ya nyoka kwa sababuwalikuwahatari na wadanganyifu.
Kila mti usiozaa matunda mema
Yohana hakuwa kweli akiongea kuhusu miti .Haya ni maelezo kwamba matunda mema kwa matendo mema na mtazamo kwamba hutoka kwa Mungu.
Yatakatwa chini na kutupwa motoni
Hii inamaanisha,"yatahukumiwa na kuadhibiwa na Mungu."
Yohana alitimiza
Ni kwamba,"Yohana alifanya "ambacho nabii alisema kama mjumbe wa Mungu anaweza fanya.
Angalia
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa kama ,"Tazama"na angalia "au,"weka utulivu!.
Mjumbe wangu
Ni kwamba,"Mimi Yahwe nitamtuma mjumbe wangu."Kwa baadhi ya lugha zingine inaweza kuwa zaidi halisi kutumia moja kwa moja nukuu kwa maneno haya,kama :"Ni kipi nabii Isaya alitabiri wakati aliposema kwamba Mungu anaweza kumtuma mjumbe wake."
Mbele yenu
Kwenye kipengele hiki neno, "yenu" kinarejea kwa Masihi.
Andaa njia yenu
Ujumbe wa Mungu uliwaandaa watu kumsikiliza masihi.
24-05
Mkuu sana
Ni muhimu sana
Hata sistahili kufungua viatu vyake
Kwa maneno mengine ,"yaliyolinganisha naye,Mimi siye muhimu kutosha hata kaziduni kwake.kuvifungua kamba viatu ilikuwa kazi duni ,jambo hilo linaweza kufanywa na mtumwa.
24-06
Kuna
Kwa lugha nyingine Hii inaweza kuwa, "Hapa ni ",au "Yule mtu ni."
Mwana kondoo wa Mungu
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa hivi," Mwanakondoo kutoka kwa Mungu" au dhabihu ya Mwanakondoo ambayo Mungu alitupatia".Anatimiza taswira ambayo iliwakilishwa na dhabibu ya kondoo katika agano la kale.
Atakayechukua dhambi ya ulimwengu
Dhabihu ya Yesu ilimfanya Mungu kuangalia dhambi zetu kama hazitatendeka tena
Dhambi ya ulimwengu
Ni kwamba ,"dhambi za watu ndani ya dunia ."
24-07
Sistahili kukubatiza wewe
Hii inaweza kuwa," imetafsiriwa hivi ,"mimi sistahili kutosha kukubatiza wewe",au ,"Mimi ni mwenye dhambi hivyosiwezi kukubatiza wewe,
Ni kitu sahihi kufanya
Hii inaweza pia kuwa imetafsiriwa hivi,ni kitu sahihi kufanya ,"Hii ni namna Mungu anataka mimi kufanya."
24-08
Mwana wangu ambaye nakupenda
Akikisha tafsiri ya hii haitamkwi kama palikuwa na mwana mwingine .Inaweza kuwa lazima kusema ,"wewe ni mwanangu .Ninakupenda sana na ninapendezwa nawe."
24-09
Mungu alimwambiaYohana
Ni kwamba,"Kabla ya hii ,Mungu alimwambia Yohana au,"Kabla ya Yesu kuja kubatizwa na Yohana,Mungu alimwambia Yohana."