25-01
Roho Mtakatifu alimwongoza
Ni kwamba,"Roho Mtakatifu alimlinda" au," Roho Mtakatifu alisababisha yeye kwenda."
Nyikani
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa hivi,"jangwa"au,"kijijini,eneo la kuzikia watu wachache."Hili eneo kwa hakika lilikuwa na miti michache au mimea mingine,hivyo watu wengi hawakuweza kuwa tayari kuishi.
Siku arobaini mchana na usiku
Hii inaanisha "siku arobaini, zote wakati wa mchana na wakati wa usiku ,"Akikisha kwamba tafsiri ya hiki kifungu hakitamkwi kama kipindi cha siku nane.
Alimjaribu yeye kufanya dhambi
Kabla Yesu hakufanya dhambi,akikisha kwamba unatumia maneno ambayo hayamfanyi shetani kufaulu katika kumshawishi Yesu kutenda dhambi.Kipengele hiki kinaweza kuwa kimetafsiriwa hivi, Alijaribu kushawishiatende dhambi."
25-02
Amuru mawe haya yawe mkate
Hii inaweza pia kuwa imetafsiriwa hivi,"tengeneza mawe haya yawe mkate"au muujiza kubadilisha mawe kuwa mkate."
Mkate
Hii inaweza kutafsiriwa hivi,"chakula"Kwa lugha ambapo mkate siyo chakula cha kawaida .Kwa tamaduni za Wayahudi mkate ulikuwa chakula kikuu.
25-03
Mkate
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa hivi ,"kwa lugha ambapo mkate siyo chakula cha kawaida .Kwa tamaduni za Wayahudi mkate ulikuwa chakula kikuu.
Lakini wanahitaji kila neno lilosemwa na Mungu
Njia nyingine kutafsiri hii inaweza kuwa badala yake watu wanahitaji kusikiliza na kutii kila kitu kisemwacho na Mungu au badala yake watu
25-04
Jirushe mwenyewe chini
",Ni kwamba ,"Kuruka kutoka juu ya hili jengo hadi ardhini."
Imeandikwa
Ni kwamba,"nabii wa Mungu aliandikiwa miaka mingi."
Mguu wako hautagonga jiwe
Hii inamaanisha,"Kwamba hutaumizwa kwa yote ,hata hivyo mguu wako hatakuwa umejeruhiwa kwenye jiwe."Inaweza pia kuwa imetafsiriwa,"hata hivyo mguu wako hautagoma kinyume na jiwe hautakuwa umejeruhiwakwa yote."
25-05
Katika neno la Mungu ,anaagiza watu wake ,usimjaribu Bwana Mungu wako.
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa moja kwa moja kwa nukuu:"Mungu anatuamuru kwenye neno lake kwamba tusiweze kumpima Bwana Mungu wetu."
Usimpime Bwana Mungu wako
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa hivi," Usimfanya Bwana Mungu wako kuthibitishwa kwako"au,Usimfanya Bwana Mungu wako kuthibitisha kwamba yeye ni mwema"
Bwana Mungu wako
Ni kwamba,Yahwe,Mungu wako"au,Yahwe,ambaye ni Mungu na ana mamlaka juu yako."
25-06
Falme za ulimwengu
Hii inarejea kwa miji yote mikubwa ,nchi,na tawala za dunia
Utukufu wao
Ni kwamba,"nguvu na utajiri wao,"
Nitakupa hivi vyote
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa kama,"nitakupa utajiri wote na nguvu wa hizi falme"au nitakufanya mtawala juu ya nchi,miji,na watu."
25-07
Ondoka kwangu
Hii inaweza pia kuwa imetafsiriwa kama,"Niache mimi "au,Niache peke yangu."
Katika maneno ya Mungu anaagiza watu wake ,"mwamudu peke yake Bwana Mungu wako na kumtumikia peke yake"
Hii inaweza kuwa imeandikwa kama siyo moja kwa moja kama nukuu, katika Maneno ya Mungu anatuagiza kwamba ni lazima tumwabudu na kumtumikia Bwana Mungu peke yake ambaye anatawala juu yetu."
Bwana Mungu wako
Hii inaweza kuwa kama Mungu anatuagiza kwamba ni lazima tumwabudu na kumtumikia Bwana Mungu peke yake ambaye anatawala juu yetu.
Na kumtumikia peke yake
Njia nyingine kusema hii itaweza kuwa ," Ni Yeye peke tunaweza kumtumikia".
25-08
Yesu hakujutia chini ya
Hii inaweza kuwa imetafsiriwa hivi,"hakufanya kitu ambacho shetani alikuwa anamjaribu afanye."