Obadiah
Obadiah 1
Obadiah 1:1-2
Kwa nini Bwana alimtuma mjumbe kati ya mataifa?
Bwana alimtuma mjumbe kati ya mataifa ili kuwafanya mataifa kuinua vita dhidi ya Edomu.
Obadiah 1:3-6
Nini ni moja ya dhambi za Waedomu?
Waedomu walikuwa na kiburi katika miyoyo yao na waliamini kwamba hawangeweza kuanguka chini.
Obadiah 1:7-9
Ni nani atakayedanganya na kushinda Edomu?
Watu ambao walikuwa na muungano wa amani na Edomu watawadanganya na kumsaliti Edomu.
Obadiah 1:10-11
Kwa nini Edomu itafunikwa na aibu na kukatwa milele?
Edomu itafunikwa na aibu na kukatwa milele kwa sababu ya vurugu Edomu alimfanyia nduguye Yakobo.
Ni nini kilichotokea siku ambayo Edomu alisimama mbali na Yakobo?
Siku hiyo, wageni waliingia milango ya Yerusalemu na wakachukua utajiri wake
Obadiah 1:12-14
Bwana alimwambia Edomu kutofanya nini juu ya Yuda siku ya dhiki ya Yuda?
Bwana aliwaambia Edomu kutokusifu, kushangilia, au kupoteza utajiri wa Yuda siku ya dhiki ya Yuda
Obadiah 1:15-16
Bwana alisema nini atarudi juu ya kichwa cha Edomu?
Bwana alisema kuwa matendo ya Edomu yatarudi juu ya kichwa cha Edomu.
Obadiah 1:17-18
Nini wengine katika Mlima Sayuni wataweza kufanya licha ya dhiki ya Yuda?
Wengine katika Mlima Sayuni wataweza kutoroka licha ya dhiki ya Yuda.
Ni watu wangapi wa Edomu waliokoka hukumu ya Bwana?
Hakutakuwa na waathirika huko Edomu baada ya hukumu ya Bwana.
Obadiah 1:19
Nani basi atakuwa na mlima wa Esau?
Wale kutoka Negebu watakuwa na mlima wa Esau.
Obadiah 1:20-21
Kisha mlima wa Esau utahukumiwa wapi?
Mlima wa Esau utahukumiwa na mlima Sayuni