Kiswahili: translationQuestions

Updated ? hours ago # views See on DCS Draft Material

1 Thessalonians

1 Thessalonians 1

1 Thessalonians 1:2-3

Paulo anakumbuka nini siku zote mbele za Mungu kuhusu Watheselonike?

Paulo anakumbuka kazi yao ya imani, kazi yao ya upendo, na matumaini ya uvumilivu

1 Thessalonians 1:4-5

Njia zipi nne injili iliwafikia Wathesalonike?

Injili iliwafikia Wathesalonike kwa neno, nguvu, katika Roho Mtakatifu, na katika uhakika.

1 Thessalonians 1:6-7

Nini kinatokea kwa Wathesalonike kama walipata neno la Injili?

Wathesalonike kulipokea neno katika dhiki nyingi.

ilikuwa na mtazamo gani Wathesalonike 'kama walipata neno la Injili?

Wathesalonike kupokea neno kwa furaha katika Roho Mtakatifu.

1 Thessalonians 1:8-10

Ni nini kilichotokea kwa neno la Bwana baada Wathesalonike alipokea yake?

neno la Bwana limeenea kila mahali imani yao kwenda nje.

Wathesalonike walikuwa wanaabudu nini kabla awajaja kumwamini Mungu wa kweli?

Wathesalonike walikuwa wanaabudu miungu kabla ya kuja kumuabudu Mungu wa kweli

Paulo na Wathesalonike walikuwa wanasubiri nini?

Paulo na Wathesalonike walikuwa wanasubiri Yesu arudi kutoka Mbinguni.

Yesu utukomboa kutoka wapi?

Yesu utukomboa na gadhabu ijayo

1 Thessalonians 2

1 Thessalonians 2:1-2

Paulo na wenzake walitendewa nini kabla ya kuja kwa Wathesalonike?

Paulo na wenzake waliteswa na kutendewa vibaya kwa aibu.

1 Thessalonians 2:3-4

Nani Paulo anatamani kumpendeza na kuhubiri kwake injili?

Paulo anatamani kumpendeza Mungu na kuhubiri kwake injili

1 Thessalonians 2:5-6

Paulo hakufanya nini na kuhubiri kwake injili?

Pualo hakutumia utamu wa maneno, wala kutafuta utukufu wake.

1 Thessalonians 2:7-9

Paulo na wenzake walifanya nini ili wasiwe mzigo kwa Wathesalonike?

Paulo na wenzake walifanya kazi usiku na mchana ili wasiwe mzigo kwa Wathesalonike

1 Thessalonians 2:10-12

Paulo aliwatendea nini Wathesalonike alivyo kuwa nao?

Paulo alikuwa mpole na Wathesalonike kama mama au baba na watoto wake

Paulo aliwambia Wathesalonike waenendeje?

Paulo aliwaambia Wathesalonike waenende kwa namna inayo mpendeza Mungu aliye waita katika ufalme wake na utukufu

1 Thessalonians 2:13

Ni kwa aina gani ya neno ambalo Wathessalonike walipokea ujumbe wa Paulo aliowahubiria

Wathessalonike walipokea ujumbe kama neno la Mungu, si kama neno la mtu.

1 Thessalonians 2:14-16

Nini walikuwa Wayahudi wasioamini wamefanya ambavyo havikumpendeza Mungu?

Wayahudi wasioamini walitesa makanisa huko Yudea, walimuua Yesu na manabii, wakamfukuza nje Paul, na kukataza Paul asiseme na Mataifa.

1 Thessalonians 2:17-20

Kwa nini Paulo hakuwa na uwezo wa kuja kwa Wathesalonike ingawa hiyo ilikuwa nia yake?

Paulo hakuwa na uwezo wa kuja kwa sababu Shetani alimzuia.

Wathesalonike watakuwa nini kwa Paulo ajapo Bwana?

Wathesalonike watakuwa tumaini, furaha, na taji la utukufu arudipo Bwana

1 Thessalonians 3

1 Thessalonians 3:1-3

Ni nini Paulo alifanya,Ingawaje angeachwa kule Atheni?

Paulo alimtuma Timotheo kuwapa nguvu na kuwatia moyo wakristo wa Thesalonike,

Paulo alisema ameteuliwa kwa lipi?

Paulo alisema ameteuliwa kwa ajili ya mateso

1 Thessalonians 3:4-5

Paulo alikuwa anajali nini kuhusu Wathesalonike?

Paulo alikuwa anajali kuhusu uenda mjaribu akawa amewajaribu na kazi yake ikawa bure

1 Thessalonians 3:6-7

Ni nini kilimfarifi Paulo wakati Timotheo aliporudi kutoka Thesalonike?

Paulo alifarijika kusikia habari njema juu ya Imani ya wathesalonike na upendo wao, na jinsi ambavyo walitamani kumuona baada ya kipindi kirefu.

1 Thessalonians 3:8-10

Paulo anasema ataishi endapo wathesalonike watafanya nini?

Paulo anasema ya kuwa ataishi endapo wathesalonike wataishi imara katika Bwana.

Kwa lipi ambalo Paulo analiombea usiku na mchana?

Paulo anaomba usiku na mchana iliawaone Wathesalonike na kuwapa kinacho kosekana katika imani yao

1 Thessalonians 3:11-13

Paulo anatamani Wathesalonike waongeza na kuzidi katika lipi?

Paulo anatamani Wathesalonike waongezeke na kuzidi katika upendo kwao wenyewe na kwa watu wote

Tukio gani ambalo Paulo anawataka Wathesalonike wajiandae mioyo yao kwa utakatifu na bila lawama?

Paulo anawataka Wathesalonike wajiandae kwa kurudi kwa Bwana Yesu pamoja na watakatifu wote

1 Thessalonians 4

1 Thessalonians 4:1-2

Kwa nini Paulo waliwataka Wathesalonike wafuate maelekezo waliyopewa juu ya namna wanavyopaswa kuenenda na kumpendeza Mungu?

Paulo aliwataka Wathesalonike waendelee kuenenda na kumpendeza Mungu na kutenda zaidi.

1 Thessalonians 4:3-6

Kwa nini Paulo alisema ilikuwa ni mapenzi ya Mungu kwa Wathesalonike?

Paulo alisema mapenzi ya kwa Mungu Wathesalonike

Waume walipaswa kuwa tendeaje wake zao?

Waume walipaswa kuwa tendea wake zao katika utakatifu na heshima

Nini kitatokea kwa ndugu ataye fanya dhambi ya uzinzi?

Bwana ndiye atakuwa mlipizaji kwa ndugu ataye fanya uzinzi

1 Thessalonians 4:7-8

mtu anamkataa nani anaye kataa wito wa utakatifu?

Mtu anamkataa Mungu anaye kataa wito wa utakatifu

1 Thessalonians 4:9-12

Ni tendo gani la Wathesalonike ambalo Paulo alitaka wafanye zaidi?

Paulo aliwataka Wathesalonike wapendane wao kwa wao zaidi.

Wathesalonike walipaswa kuenendaje kwa wasioamini?

Wathesalonike walipaswa kuwa kimya, kufuata shughuli zao, nakufanya kazi na mikono yao

1 Thessalonians 4:13-15

Ni jambo gani ambalo Wathesalonike hawakulielewa?

Wathesalonike hawakuelewa juu ya nini hutokea kwa wao waliolala mauti.

Mungu ata fanya nini kwa wao walio lala katika Yesu?

Mungu ata waleta na Yesu ao walio lala katika Kristo

1 Thessalonians 4:16-18

Bwana atashukaje toka mawinguni?

Bwana atashuka toka mawinguni na sauti kuu na parapanda ya Mungu.

Nani atafufuliwa kwanza kisha

Waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza kisha ambao bado watakua hai wataungana pamoja nao.

Waliofufuliwa wata kutana na nani na kwa muda gani?

Waliofufuka watakutana na Bwana Mawinguni, na watukuwa naye siku zote

Paulo aliwambia Wathesalonike wafanye nini kuhusu mafundisho yake ya hao waliolala?

Paulo aliwambia Wathesalonike wafarijiane kwa maneno yake

1 Thessalonians 5

1 Thessalonians 5:1-3

Paulo anasema siku ya Bwana itakujaje?

Paulo anasema siku ya Bwana itakuwa kama mwizi ajapo usiku

Watu watasemaje uharibifu utakapo wajia ghafla?

Watu wengine watasema, "amani na usalama"

1 Thessalonians 5:4-7

Kwa nini Paulo alisema siku ya Bwana haipaswi kuwajieni waumini kama mwizi?

Kwa sababu waamini hawako gizani, lakini ni watu wa mwanga siku ya Bwana lazima wasiwafikie kama mwizi.

Paulo anawaambia waamini wafanyeje kuhusu kuja kwake Bwana?

Paulo anawambia waamini wakeshe na kuwa makini

1 Thessalonians 5:8-11

Je, Paulo kuwaambia waumini kufanya kuhusu siku ya kuja kwake Bwana?

Paulo anawaambia waumini kuangalia na kuwa na kiasi, na kuweka kwenye imani, upendo, na matumaini.

1 Thessalonians 5:12-14

Mtazamo gani Paulo anasema waumini wanapaswa kuwa kwa wale ambao ni juu yao katika Bwana

Paulo anasema kwamba ni lazima kutambua na yenye kuzingatia yao katika upendo.

1 Thessalonians 5:15-18

Je, Paulo anasema hakuna mtu kulipiza wakati amefanyiwa baya. ?

Paul anasema kwamba hakuna mtu anapaswa kulipa ovu wakati amefanyiwa baya.

Paulo anasema waamini katika mambo yote wafanye nini, na ni kwa sababu gani?

Paulo anasema waamini watoe shukurani katika mambo yote, kwa kuwa hayo ndio mapenzi ya Mungu

1 Thessalonians 5:19-22

Maelekezo gani Paulo anawapa waamini kuhusu unabii?

Paulo anawaelekeza waamini wasidharau unabii, na kujaribu mambo yote, washikilie lililo jema

1 Thessalonians 5:23-24

Je, Paulo kumwomba Mungu kufanya kwa ajili ya waumini?

Paulo anaomba kwamba Mungu utakasa kwa waumini kabisa katika roho, nafsi na mwili.

1 Thessalonians 5:25-28

Paulo anaomba nini iwe na waamini?

Paulo anaomba kuwa neema ya Bwana Yesu Kristo iwe na waamini