Haggai
Haggai 1
Haggai 1:1-11
Lini neno la Bwana lilikuja kwa mkono wa nabii Haghai?
Neno lilikuja mara ya pili wa mfalme Dario, katika mwwezi wa sita, siku ya kwanza ya mwezi.
Kwa ajili ya nani neno la Bwana lilikuja?
Neno la Bwana lilikuja kwa Zerubabeli mkuu wa mkoa na Joshua kuhani mkuu.
Haggai 1:12-13
Ni jinsi gani Zerubabeli mkuu wa mkoa na Joshua kuhani mkuu, na mabaki yote ya watu walijibu sauti ya Bwana na maneno ya Haghai nabii, ambalo Bwana alilituma?
Walitii sauti ya Bwana na maneno ya ya Haghai na kuogopa uso wa Bwana
Haggai 1:14-15
Lini Bwana aliwakoroga zerubabeli mkuu wa mkoa, na Yoshua nabii, roho za mabaki yote ya watu kwena kufanya kazi katika nyumba ya Bwana wa majeshi, Mungu wao?
aliwachanganya katika siku ya ishirini na nne ya mwezi, katika mwaka wa pili wa Dario mfalme
Haggai 2
Haggai 2:1-2
Lini neno la Bwana lilikuja kwa mkono wa Nabii Haghai?
Neno lilikuja katika mwezi wa ishirini na moja ya mwezi.
Haggai 2:3-5
Ingawa nyumba ya Bwana ilikuwa kama hakuna kitu machomi pao ambao waliiangalia kwa utfu wa kale, kwa nini Bwana aliapa kuwa kuwa Zerubabel mkuu wa mkoa, Yoshua kuhani mkuu na watu wote watakuwa na nguvu na kufanya kazi?
Bwana aliahidi kuwa watafanya kazi kwa sababu yeye alikuwa pamoja nao.
Haggai 2:6-12
Bwana alipotikisa mbingu na nchi, na kila taifa, walileta vitu vyao vya thamani, Bwana angefanya nini?
Angeijaza nyumba utukufu na kuwapa amani katika nyumba.
Haggai 2:13-14
Kulingana na makuhani, kama mmoja si safi kwa sababu ya kifo akigusa chakula, hicho chakula kitakuwa najisi?
Kulingana na makuhani, chakula kinachoguswa na mtu ambaye si safi kwa sababu ya kifo pia kitakuwa najisi.
Haggai 2:15-17
Kabla ya jiwe kulazwa juu ya jiwe nyingine katika hekalu la Bwana, Je, nini kilitokea?
Vipimo kumi vya ngno kingekuwepo pale vipimo ishirini vilihitajika; vipimo ishirini vya mvinyo vingepatikana wakati hamsini vinahitajika, na Bwana atawataabisha watu wote na kazi zao zote.
Bwana atakapowataabisha watu kabla ya jiwe lolote halijajengwa juu ya jiwe lingine katika nyumba ya Bwana, je, watu walimrudia?
Hapana, watu hawakurudi kwa Bwana.
Haggai 2:18-23
watu walikuwa wanazingatia nini tangu siku ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, siku ile ile ambayo msingi huo wa hekalu la Bwana ulipojengwa?
Walipaswa kuzingatia kuwa hakukuwa na mbegu katika ghala, na kuwa, Mvinyo, mti wa mtini, komamanga na mti wa mzazibu vilikuwa bado havitoi matunda.