Kiswahili: translationQuestions

Updated ? hours ago # views See on DCS Draft Material

Malachi

Malachi 1

Malachi 1:1-3

kupitia nani nane la Bwana lilikuja kwa Israel?

Neno la Bwana lilikuja kwa kupitia Malaki.

Malachi 1:4-5

Waisrael wangejibuje kama Bwana angeangusha ujenzi wa uharibifu wa Edom?

Israel wangejibu kwa kusema, "Bwana nimkuu katika mipaka ya Israel".

Malachi 1:6-7

Kama baba wa Israel na mkuu, Bwana amewaagiza nini makuhani?

Bwana aliwauliza makuhani iko wapi heshima na utii kwa ina langu, na kwa nini mnalidharau jina lake na meza yake.

Malachi 1:8-9

Ni namna gani Bwana angejibu juu ya sadaka vipofu, vilema, na walio wagonjwa?

Bwana asingezikubali sadaka vipofu, vilema, na vigonjwa, au kuonyesha upendeleo, au neema kwa waisraeli, au kuwapokea waisrael kwa sadaka wanazotoa.

Malachi 1:10-12

Kwa nini Bwana alipendekeza kuwa mmoja wa Waisraeli kufunga malango ya hekalu ilikuzuia kutokana na mwanga wa moto ulio kwenye madhabahu?

Kwa sababu jina la bwana lilikuwa linatukuzwa katikati ya mataifa na wanaenda kumtolea sadaka iliyo safi sadaka isiyotakiwa kutoka katika mikono ya Waisraeli.

Malachi 1:13-14

Ni namna gani makuhani walijali huduma ya Bwana?

waliona kuwa inachosha, na waliifanya kwa udanganyifu.

Malachi 2

Malachi 2:1-7

Liweke moyoni

"Lifanye kuwa jambo la Muhimu"

Malachi 2:8-9

Ni namna gani makuhani waliharibu agano la Lawi na hawakutunza njia za Bwana?

Makuhani walifanya hivyo kwa kuonyesha upendeleo katika maagizo yao.

Malachi 2:10-12

Nani ambaye Bwana atamkatilia kutoka katika hema ya Yakobo?

Bwana atamkatilia mbali ambaye anashughulika na hila kinyume cha kaka yake au yule aliyeoa binti wa miungu migeni, na pia kuleta sadaka kwa Bwana.

Malachi 2:13-16

Kwa nini Bwana hakuzikubali sadaka za Waisraeli?

kwa sababu waisrael hawakuwa waaminifu kwa wake wa ujana wao.

Malachi 2:17

Waislael walimchosha Bwana kwa namna gani na maneno yao?

Walimchosha Bwana kwa maneno yao kwa kusema kuwa yeye afanye uovu ni mzuri kwa upande wa Bwana na Bwana anafurahia, na wakiuuliza Mungu wa haki alikuwaje.

Malachi 3

Malachi 3:1-3

Nini kingetokea baada ya Bwana kutuma mjumbe wake wa agano ambaye angeandaa njia?

Bwana, waisraeli anaowataka wangekuja kwenye kwenye hekalu lake.

Malachi 3:4-5

Ni lini sadaka ya Yuda na Yerusalemuinaweza kumpendeza Mungu?

Ingempendeza baada ya kuwatakasa wana wa Lawi, baada ya kuandaliwa kama dhahabu na shaba.

Malachi 3:6-7

Hata kama watu wa Yakobo wamegeuka na kuacha amri za Bwana, kwa nini hawakuwa wanakula?

hawakuweza kula kawa sababu Bwana huwa habadiliki.

Malachi 3:8-9

Ni jinsi gani waisraeli walimwibia Mungu?

Walimwibia Mungu kwa sababu hawakuleta zaka kamili katika nyumba ya Bwana.

Malachi 3:10-12

Ni jinsi gani waisraeli walimwibia Mungu?

Walimwibia Mungu kwa sababu hawakuleta zaka kamili katika nyumba ya Bwana.

Bwana aliahidi nini kingetokea kama Israeli wangeleta Zaka kamili katika nyumba ya Bwana?

Bwana aliahidi kuwa atamkemea alaye, na mataifa yote watawaita waisraeli waliobarikiwa

Malachi 3:13-15

Waisraeli walisema nini juu ya Bwana?

walisema kuwa kumtumikia Bwana ni upuuzi kwa sababu ya kiburi na uharifu na mafanikio hata kama wamemjaribu yeye.

Malachi 3:16

Ni nani ambaye Bwana anasema ni mali yake na amemhifadhi?

Bwana anasema kuwa wale wanaomhofu na wanaolipa heshima jina lake watakuwa watu mali yake na kuhifadhiwa.

Malachi 3:17-18

Ni nani ambaye Bwana anasema ni mali yake na amemhifadhi?

Bwana anasema kuwa wale wanaomhofu na wanaolipa heshima jina lake watakuwa watu mali yake na kuhifadhiwa.

Na siku ile Bwana atakapoonekana, nini kitatokea?

Waisraeli wangetofautisha tena kati ya wenye haki na waovu, na kati ya wale wanaomwabudu Mungu na wale wasiomwabudu.

Malachi 4

Malachi 4:1-6

Siku ile inayokuja inawaka kama tanuru, nini kitatokea kwa wale wenye kiburi na waharifu?

wenye kiburi na waharifu watakuwa kama mabua, na watateketea.